Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

Yeye mwenyewe ni mfano mbaya kabisa usiofaa kuigwa.

Hawa watu wakati mwingine hujitoa akili kichwani na kudhani wengine hawana akili kabisa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dpp ana chama cha siasa? Maana alifuta kesi ya gaidi Mbowe kijinga sana
"Nileteeeeeni Gwajimaaaaaaa" " mkurugenzi nakulipa mshahara nikupe na usafiri nakupa halafu unamtangaza mpinzani kashinda"
 
Jaji mkuu ameongea inavyopaswa kuwa, lakini uhalisia ni kinyume chake. Toka alipoingia kuwa jaji mkuu na jinsi alivyopata ujaji mkuu, yeye ndio amegeukia kuwa dhaifu kabisa kwa watawala.

Kwa kiwango kikubwa mahakama chini yake, imetumika na wanasiasa wa chama tawala kwa jinsi walivyotaka. Watu wengi wamefungwa kwa kesi za wazi za kubambikiwa.

Na ukweli huo anaujua lakini hana la kufanya aidha kwa hofu ya kusema ukweli, au kulinda ulaji. Kwa sasa watu wengi wamepoteza imani na mahakama kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Mahakama kwa sasa imekuwa ni sehemu ya kukomoa watu kuliko kutoa haki.
Hii nafasi ni kubwa sn inahitaji mtu mwenye uwezo na siyo ukada
 
Back
Top Bottom