Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

Yeye mwenyewe ni mfano mbaya kabisa usiofaa kuigwa.

Hawa watu wakati mwingine hujitoa akili kichwani na kudhani wengine hawana akili kabisa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jaji mkuu ameongea inavyopaswa kuwa, lakini uhalisia ni kinyume chake. Toka alipoingia kuwa jaji mkuu na jinsi alivyopata ujaji mkuu, yeye ndio amegeukia kuwa dhaifu kabisa kwa watawala.....
Hivi kwanini asingenyamaza tu ?
 
Dpp ana chama cha siasa? Maana alifuta kesi ya gaidi Mbowe kijinga sana
"Nileteeeeeni Gwajimaaaaaaa" " mkurugenzi nakulipa mshahara nikupe na usafiri nakupa halafu unamtangaza mpinzani kashinda"
 
Hii nafasi ni kubwa sn inahitaji mtu mwenye uwezo na siyo ukada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…