Tukisema hamko huru mnatishia kutumia nguvu za kimahakama kutufunga. Haya Sasa Leo mmesema wenyewe kuna watu wanawapigia simu kuwatisha/kuwaamuru mtoe hukumu wanavyotaka wao. Tume ya utumishi wa Mahakama unampeleka Hakimu au Jaji, kama umepigiwa na Wakubwa seriakalini Γ mbao mmewafanya wenyeviti wa kamati za Mahakama huyo Hakimu atampeleka wapi?Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp
Hawawafikii wa Puerto Rico.Bora hata kupigiwa simu,Wale jamaa ukiwa judge na wakaona unataka kutenda Haki hawakupigii hata simu,Bali unapandishwa cheo tu ghafla.
Majaji wa nchi ya Cuba Ni noma.
Eeeh kumbe Jaji Liganga wanampigia sana Simu??π€£π€£π€£Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp
Inaonekana majaji wanapigiwa sana simu mpaka imekuwa Kero.Yeye mwenyewe mteuliwa tu hapoo,muulizeni kwanza akipigiwa na aliyemteua afanye mafekecheo flaniii na ni nje ya sheria,atagomaa?!
Mwambie akae tu kimyaa,hii nchi inaliwa wa wenye nchi.
Wameruhusiwa kila mmoja kula urefu wa kamba yake.Yeye mwenyewe mteuliwa tu hapoo,muulizeni kwanza akipigiwa na aliyemteua afanye mafekecheo flaniii na ni nje ya sheria,atagomaa?!
Mwambie akae tu kimyaa,hii nchi inaliwa wa wenye nchi.
Yan hili lijuma ndo maana jiwe alikaa miezi 6 bila kulithibitisha kazini, kiazi kweli yanJaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo kosa lake ninYan hili lijuma ndo maana jiwe alikaa miezi 6 bila kulithibitisha kazini, kiazi kweli yan
Jaji kupigiwa simu ni njia mojawapo ya "KULA UREFU WA KAMBA YAKE" waacheni wapigiwe tu. Simu watakazoripoti ni zile za kuwatishia. Za mpunga watamalizana na mpiga simu.Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp
Lipolipo tu yan, hapajawahi kuwa na CJ kiazi hivi[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo kosa lake nin
Kumbe shemeji yake na Shimbo, hovyo kweliTanzania haijawahi kupata Jaji Mkuu wa hovyo kabisa kama Prof. Ibrahim Juma ambaye alikuwa mwalimu wangu pale UDSM na kwa namna alivyokuwa mtu wa staha na mpole na mcheshi kiasi sikutarajia kumbe ana uwezo mdogo wa uongozi wa Mahakama kiasi hiki.
Toka ameteuliwa hii nafasi hajawahi kuitendea haki Kama majaji wakuu wengine waliopita kama Samatta, nk ukiacha majaji wa Mahakama za juu kama marehemu Mwalusanya J, Lugakingira J as he then was.
Ameishia kuwa Jaji Mkuu wa matamko tu Kama mwanasiasa. Ameharibu sana muundo wa seniority kwenye Mahakama na staff ikiwemo muundo wa mawakili, practice, seniority, uchaguzi wa TLS, namna ya ushiriki nk.
Ameishushia Mahakama hadhi yake kwa kuruhusu kuendeshwa kwa kesi zenye utata wa kisheria na kiutendaji pia kesi za uhujumi uchumi ambazo zilikataza dhamana kwa watuhumiwa ingali anafahamu kabisa kwamba right to bail ni haki ya msingi katika utekelezaji wa haki ya mtu binafsi na dhana nzima ya innocence before the court.
Hajawahi kukemea na kuzitamka Sheria kandamini kwamba zipo kinyume na Katiba ya nchi. Amezipokea Sheria kama ya vyombo vya habari, Sheria ya mitandao, Sheria ya uhujumu uchumi, Sheria ya terrorism, na Sheria nyingine nyingi ambazo zipo kinyume na Katiba yetu.
Magufuli alimteua akijua kabisa huyu hajakulipa kwenye judiciary alikuwa lecturer tu hana ethics za uhakimu au judiciary.
Majaji wakuu waliokulia kwenye judiciary Wana sifa ya kutoendeshwa na serikali kuu (executive). Wamekuwa wakikemea sheria mbovu zinazotungwa bungeni na wamekuwa wakizikataa kuzitumia Mahakamani kwa kuwa zilikuwa kinyume na Katiba Ila huyu aliyepo yeye ni matamko ya jukwaani na sio akiwa functus officio.
Ndio maana judiciary imekuwa jalala la lawama za ukandamizaji wa haki ingali mwarobaini wake anaufahamu huyu Shemeji yake Mzee Shimbo.
Anaposema kumingilia i hope hamaanishi kuingilia ile nyengine πJaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp