Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu na shemejie hao.Kumbe shemeji yake na Shimbo, hovyo kweli
Vipi akipigiwa kutoka magogoni asitoe zamana itakuwaje?Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp
Hapo sasa na hilo swali akikujibu naomba nishtue.Yeye mwenyewe mteuliwa tu hapoo,muulizeni kwanza akipigiwa na aliyemteua afanye mafekecheo flaniii na ni nje ya sheria,atagomaa?!
Mwambie akae tu kimyaa,hii nchi inaliwa wa wenye nchi.
Bora hata kupigiwa simu,Wale jamaa ukiwa judge na wakaona unataka kutenda Haki hawakupigii hata simu,Bali unapandishwa cheo tu ghafla.
Majaji wa nchi ya Cuba Ni noma.
Huku Cuba nilipo, utaratibu Ni tofauti.In most cases, kupandishwa cheo hakumaanishi kwamba kesi zote ambazo kwa wakati huo ziko mbele yako unaachana nazo. Kuna baadhi ya kesi utalazimika kuzimalizia katika wadhifa wako wa zamani. Kama ulikuwa hakimu (say, PRM) na sasa umekuwa judge, zile kesi itabidi uzimalizie kwa kofia ya PRM.
Ni takataka tupu, nadhani amehitimu madrasat QubaTanzania haijawahi kupata Jaji Mkuu wa hovyo kabisa kama Prof. Ibrahim Juma ambaye alikuwa mwalimu wangu pale UDSM na kwa namna alivyokuwa mtu wa staha na mpole na mcheshi kiasi sikutarajia kumbe ana uwezo mdogo wa uongozi wa Mahakama kiasi hiki.
Toka ameteuliwa hii nafasi hajawahi kuitendea haki Kama majaji wakuu wengine waliopita kama Samatta, nk ukiacha majaji wa Mahakama za juu kama marehemu Mwalusanya J, Lugakingira J as he then was.
Ameishia kuwa Jaji Mkuu wa matamko tu Kama mwanasiasa. Ameharibu sana muundo wa seniority kwenye Mahakama na staff ikiwemo muundo wa mawakili, practice, seniority, uchaguzi wa TLS, namna ya ushiriki nk.
Ameishushia Mahakama hadhi yake kwa kuruhusu kuendeshwa kwa kesi zenye utata wa kisheria na kiutendaji pia kesi za uhujumi uchumi ambazo zilikataza dhamana kwa watuhumiwa ingali anafahamu kabisa kwamba right to bail ni haki ya msingi katika utekelezaji wa haki ya mtu binafsi na dhana nzima ya innocence before the court.
Hajawahi kukemea na kuzitamka Sheria kandamini kwamba zipo kinyume na Katiba ya nchi. Amezipokea Sheria kama ya vyombo vya habari, Sheria ya mitandao, Sheria ya uhujumu uchumi, Sheria ya terrorism, na Sheria nyingine nyingi ambazo zipo kinyume na Katiba yetu.
Magufuli alimteua akijua kabisa huyu hajakulipa kwenye judiciary alikuwa lecturer tu hana ethics za uhakimu au judiciary.
Majaji wakuu waliokulia kwenye judiciary Wana sifa ya kutoendeshwa na serikali kuu (executive). Wamekuwa wakikemea sheria mbovu zinazotungwa bungeni na wamekuwa wakizikataa kuzitumia Mahakamani kwa kuwa zilikuwa kinyume na Katiba Ila huyu aliyepo yeye ni matamko ya jukwaani na sio akiwa functus officio.
Ndio maana judiciary imekuwa jalala la lawama za ukandamizaji wa haki ingali mwarobaini wake anaufahamu huyu Shemeji yake Mzee Shimbo.
Hahahah dah 😃Ni takataka tupu, nadhani amehitimu madrasat Quba
Hata Kama wanakula,lakini wasimamie haki sawa kwa wote!!Wameruhusiwa kila mmoja kula urefu wa kamba yake.
muwawekee na ulinzi hasa majumbani.Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa Mahakimu Wakazi Wateule Jijini Dar es Salaam, na kuwataka walioapishwa kuepuka mitego ya kuzungumzia masuala ya Mahakama kwenye makundi ya WhatsApp
Stone alikuwa anatafuta watu wa dizaini hii.Tanzania haijawahi kupata Jaji Mkuu wa hovyo kabisa kama Prof. Ibrahim Juma ambaye alikuwa mwalimu wangu pale UDSM na kwa namna alivyokuwa mtu wa staha na mpole na mcheshi kiasi sikutarajia kumbe ana uwezo mdogo wa uongozi wa Mahakama kiasi hiki.