Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wangafanya kazi nzuri, waache kuibeba CCM basi ningesema walipwe hata bilioni moja. Lakini kwa jinsi walivyo machawa wa CCM acha wateseke.Kwani jaji wa kawaida analipwa kiasi Gani kwa mwezi?
Ualimu , ni wito ukitegemea kufanikiwa kupitia ualimu unabidi ukapimwe akili .Du! Yaani akina waalimu sasa wasemaje?
Kwahiyo majukumu ya jaji na majukumu ya ualimu yanaweza kufanana?.Majaji wamepata mtetezi wa haki zao
Vipi sisi Walimu/Maafisa Ugani tuliopo huku Chini, nani atatusemea
Ndiyo gap liwe kubwa hivyoKwahiyo majukumu ya jaji na majukumu ya ualimu yanaweza kufanana?.
Ungesema walipwe billion moja wangelipwa?Wangafanya kazi nzuri, waache kuibeba CCM basi ningesema walipwe hata bilioni moja. Lakini kwa jinsi walivyo machawa wa CCM acha wateseke.
Unalipwa kutokana na unachozalisha na sio ukubwa wa Kazi.Ndiyo gap liwe kubwa hivyo
WITO linatumika KITAPELI na WANASIASA... Kila kazi ni WITO..Ualimu , ni wito ukitegemea kufanikiwa kupitia ualimu unabidi ukapimwe akili .
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo havipo, Katiba iko, Sheria zipo, watu wengine humu Serikalini wanatafsiri vipi Sheria?"
"Jaji wa Mahakama ya Rufaa, au Jaji wa Mahakama Kuu, aanze kuishi kwa manung'uniko! Kwanza Watu hawa Mishahara yao ni duni sana, hawana fursa kama ya watu wengine kwenye hii Mihimili miwili mingine ya dola..."
Kwa kinachoendelea pale kisutu,Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo havipo, Katiba iko, Sheria zipo, watu wengine humu Serikalini wanatafsiri vipi Sheria?"
"Jaji wa Mahakama ya Rufaa, au Jaji wa Mahakama Kuu, aanze kuishi kwa manung'uniko! Kwanza Watu hawa Mishahara yao ni duni sana, hawana fursa kama ya watu wengine kwenye hii Mihimili miwili mingine ya dola..."