Asante studioJaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo havipo, Katiba iko, Sheria zipo, watu wengine humu Serikalini wanatafsiri vipi Sheria?"
"Jaji wa Mahakama ya Rufaa, au Jaji wa Mahakama Kuu, aanze kuishi kwa manung'uniko! Kwanza Watu hawa Mishahara yao ni duni sana, hawana fursa kama ya watu wengine kwenye hii Mihimili miwili mingine ya dola..."
Jaji Mkuu wa Tanzania George Mcheche Masaju akifungua Mkutano wa Tisa wa Kamati ya Utatu (Tripartite Users Committee) kwenye ukumbi wa PSSSF TOWER - Mawasiliano jijini Dar es Salaam, leo 25 Agosti, 2025 amesema, "Kwa sasa, kuna Majaji wanahangaika, Mafao yao hawalipi, wanaleta na vikwazo ambavyo havipo, Katiba iko, Sheria zipo, watu wengine humu Serikalini wanatafsiri vipi Sheria?"
"Jaji wa Mahakama ya Rufaa, au Jaji wa Mahakama Kuu, aanze kuishi kwa manung'uniko! Kwanza Watu hawa Mishahara yao ni duni sana, hawana fursa kama ya watu wengine kwenye hii Mihimili miwili mingine ya dola..."
Muelewe vizuri Jaji amefanya comparison na mihimili mingine na hapo analilenga bunge, hoja yake ni sahihi lakini si haki kwa Watanzania hajui kuna Watanzania wanalipwa laki tatu kwa mwezi ambayo ni posho tu ya siku hapo kwenye vikao vyao.Kwani wanalipwa mshahara mdogo kuliko waalimu?
OkayUnalipwa kutokana na unachozalisha na sio ukubwa wa Kazi.
Wakulima ni watu muhimu Sana mkuu , bila wao hakuna TaifaOkay
Vipi kwenye huo mhimili ama nawe ni mkulima kama Mimi tu
Walimu mnapesa nyingi zakusimamia uchaguziMajaji wamepata mtetezi wa haki zao
Vipi sisi Walimu/Maafisa Ugani tuliopo huku Chini, nani atatusemea
Hahaha...... Uchaguzi wenyewe kila baada ya miaka 5 alafu unaambulia posho ya 180,000 tu 🙌Walimu mnapesa nyingi zakusimamia uchaguzi
Shukrani kwa kutambua kundi hili muhimuWakulima ni watu muhimu Sana mkuu , bila wao hakuna Taifa
SahihiShukrani kwa kutambua kundi hili muhimu
Washika dau watuletee pembejeo na Soko tu la uhakika la mazao yetu
🙏Sahihi
Wanasema ukiona unafanya kazi halafu muda wa likizo unaenda nao na unaowahudumia tafuta sana fursa maana unasafari ndefu.Unalipwa kutokana na unachozalisha na sio ukubwa wa Kazi.
Cc Mpwayungu VillageUalimu , ni wito ukitegemea kufanikiwa kupitia ualimu unabidi ukapimwe akili .
Si haba hiyo pesa nimesikia huko mnaweza pata heka karibu tano za ardhi huko kjjnHahaha...... Uchaguzi wenyewe kila baada ya miaka 5 alafu unaambulia posho ya 180,000 tu 🙌