Jaji Mkuu Masaju: Mishahara ya Majaji ni duni sana, hawana fursa kama mihimili mingine ya dola

Asante studio
 

Hawa tukisha ishika nchi tuhakikishe wanalipwa kama binadamu mwingine yeyote.

Kumbe Madaktari, maprofesa, mkulima au nani hastahili malipo ila wao? Nisisahau kuuliza, "kwa lipi?"
 
Kwani wanalipwa mshahara mdogo kuliko waalimu?
Muelewe vizuri Jaji amefanya comparison na mihimili mingine na hapo analilenga bunge, hoja yake ni sahihi lakini si haki kwa Watanzania hajui kuna Watanzania wanalipwa laki tatu kwa mwezi ambayo ni posho tu ya siku hapo kwenye vikao vyao.

Kinachotakiwa ni haki kwa Watanzania wote kusiwe na gap kubwa ya vipato.

Sasa Jaji anazidiwa mshahara na Kibajaji si dharau hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…