Uchaguzi 2020 Jaji Mkuu: Ni marufuku kwa Jaji, Msajili wa Mahakama na Hakimu kujiunga na Chama cha Siasa

Uchaguzi 2020 Jaji Mkuu: Ni marufuku kwa Jaji, Msajili wa Mahakama na Hakimu kujiunga na Chama cha Siasa

Akitokea mtu akaweka kadi yake ya CCM hadharani atakuwa tayari kujiuzulu ?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani uteuliwe na rais wa chama hlf usiwe mwanachama kweli?
 
Enzi za chama kimoja, ilikuwa lazima kuwa mwanachama wa CCM ili usome Chuo Kikuu au upate kazi,atuambie yeye na hao majaji walijivua uana CCM lini?
Ndio haya mambo ya Jaji Augustine Ramadhani kustaafu Ujaji Mkuu na kugombea urais CCM
 
Hii si ilikuwa inajulikana on paper tangu zamani? Ila kadi wanakuwa nazo kwenye mifuko ya koti na mtawaona wakitia nia mara tu baada ya kustaafu
 
Hivi Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu ataweza kumtenganisha na CCM?
Huyo ni atakuwa kama anampigia gitaa mbuzi
 
Wewe unaamini JWTZ na Mahakama vimejitenga?

Fikiria mara mbili boss hao wanapima upepo sio kweli wakisemacho.
Ongeza wanajeshi,Polisi, usalama wa taifa, walimu, Nwa watumishi wote wa Umma hawatakuwi kufanya kazi kwa mlengo wa kisiasa ila wanabaki na Haki ya kupiga Kula

Hongera JWTZ na Mahakama kwa kujitenga na CCM mwaka huu.
 
Back
Top Bottom