Uko sahihi ni kwamba sikuelezea kirefu zaidi, lakini tukishakuwa na mfumo shirikishi wa kuchagua viongozi wanaochaguliwa wanakuwa na maadili zaidi.Una point lakini tukiendelea kuwa na watu wanaodhani wajibu wao ni kwa aliyewateua na sio katiba waliyoapa kuilinda, basi hata iwe nzuri vipi itavunjwa with impunity.
Amandla..