TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, miezi 2 baada ya kujiuzulu, familia yathibitisha-M

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
 
Kuumwa + frustration + msomgo wa mawazo + hofu=#*%%€~£|¥€~
 
Ndo yeye kama sikosei, Kuna watu walisema aliomba kustaafu kwa sababu za kiafya ila upinzani wakaona ndo mahala pakuchukulia points kwamba anakinzana na Magufuli. Smh. Apumzike kwa Amani
hapana aliyejiuzuru karibuni ni jaji MWENDA, huyu MSUYA alikabiliwa na tuhuma za kutoa dhamana kwa watu wa ngada
 
RIP Mama yetu Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi. Amini
 
Root: Kumtakia mtu jambo jema siyo lazima asikie. Hata wewe hapo ulipo unaombewa na watu bila hata wewe kujua. Tunapoomba amani itawale duniani kwa watu wote haina maana tunamjua kila mtu. Kama wewe ni mume na mkeo ana ujauzito unamwombea ulinzi wa Mungu wa mama na mtoto hata kama huyo mtoto hajui. Kama wewe una tabia ya kuwatakia mema wale tu wanaokusikia basi una ushetani fulani ambao unapaswa kuuacha. Rafiki yako au ndugu yako anaweza kuwa mbali nawe lakini unamuombea bila hata yeye kusikia.
 
Pole kwa wafiwa!
Buriani madam Upendo!
Upendo umetoweka, hongera yako maana umetangulia huko mbeleni. Majuto ni kwetu sisi tulio nyuma yako maana hatujui siku yetu lini na tutakufa katika namna ipi!
 
Poleni wanafamilia though marehemu hajafaidi mafao yake ila ndio maisha
 
hapana aliyejiuzuru karibuni ni jaji MWENDA, huyu MSUYA alikabiliwa na tuhuma za kutoa dhamana kwa watu wa ngada
Huyu Mama aliuzulu May wakati RC wa Kilimanjaro Meck anajiuzulu. Sababu za kujiuzulu kwao hazikuwekwa wazi ila ilisikika chini chini kwamba hakuwa mwenye siha njema hadi wakati huo.

Hayo mambo ya madawa unajua wewe, Mimi najua alikua anaumwa.
 
Back
Top Bottom