TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

R.I.P Learned Judge Hon. Upendo Msuya.
Kwa Mtu Anayefahamu Anijuze.
Lawyers Wana Traditions Za Kuandikiwa Kwenye Makaburi
Yao Kurecognize Weledi Wao
"here Lies A Man And Honest"( I Stand To Be Corrected).
Kwa Uku Kwetu Hichi Kitu Kipo?

Cc [HASHTAG]#petro[/HASHTAG] E Mselewa
Cc [HASHTAG]#nyani[/HASHTAG] Ngabu
Cc [HASHTAG]#gentamycine[/HASHTAG]
 
Probably itakua ni frustration pata pictures wewe ndio unatoa mvua za kutosha kwa wahalifu suddenly unaona probability za wewe kupangiwa mvua zako ni kubwa, hapo lazima uzirai
 
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, miezi 2 baada ya kujiuzulu, familia yathibitisha-M

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
Yaani hakuna wa kukupa like kukushukuru pokea hiyo like kwa kutujuza

Let her reconcile with her maker
 
R.I.P Judge...

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
Kuna values na vionjo rasmi vya kiafrika unavipungukiwa.
Kuna jinsi waafrika hueleza wasifu wa marehemu.

Swali langu linalenga kuongeza uzito wa machozi yatububujikayo tunapomuombokeza Judge.

Naamini umeelewa vizuri kabisa.

Sasa mbona swali lako lile la mwanzo halina logical connection yoyote na hiki ulichokiandika sasa Mkuu? Anyways naomba tusiharibu huu uzi wa Msiba na tuishie tu hapa au tufanye umeshinda. Tujikite zaidi katika kumlilia Marehemu na kuwafariji Wafiwa wote.
 
Upendo%2BMsuya.jpg
 
Pumzika kwa amani Jaji... Ulikaa kwenye kiti cha kutoa haki Duniani, sasa unaenda kukutana na haki isiyo na unafiki mbele ya kiti cha hukumu chake Muumba. I hope utapenya salama...
 
Kila nafsi itaonja umauti
Poleni saana wafiwa na Mungu atawajaalia subra.
 
Back
Top Bottom