TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

Kifo ni haki kwa kila kiumbe.. ila sidhani kwa haya anayoyafanya huyu nanihii anakumbuka kwamba atakufa
 
Oya sidhani kama hii ni busara ya Kiafrika na jifunze kutenganisha Usela na mambo ya Msiba. Wewe Mtu ameshatangulia mbele za haki badala tuonyeshe masikitiko yetu unakuja tena na maswali yako yasiyo na mbele wala nyuma. Tubadilike Mkuu. Wewe ni Mwanangu / Rafiki yangu mno humu JF ila kwa hili sikuungi mkono na tujifunze kuheshimu Umauti.

R.I.P Retired Judge Madam Upendo Msuya na pole pia kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote.
kwenye taaluma ya sheria kujua jaji ametoa hukumu ngapi na ipi more authoritative ni jambo la sifa na ni kawaida. RIP JAJI MSUYA.
 
Waswahili wanasema dunia uwanja wa fujo......kila mtu anafanya fujo zake

na kila mtu akishamaliza hizo fujo anajiondokea kwa wakati wake .....RIP madam judge.
 
IMG-20170719-WA0005.jpg

Jaji mtaafu(majuzi tu) wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya ,amefariki usiku wa kuamkia leo.
 
Tunaposema RIP mara nyingi twakosea, mtu akifa amekufa hajui chochote kinachoendelea duniani

Zaidi tutoe pole kwa familia yake na ndugu zake na watu waliokuwa karibu naye
Sawa, R.I.P wafiwa.
 
Huyu si alitoa dhamana yenye utata kwa wale raia wa pakistan waliyokamatwaga na mzigo wa madawa mwishowe hao wapakistan wakala kona..

Ova
 
Tunaposema RIP mara nyingi twakosea, mtu akifa amekufa hajui chochote kinachoendelea duniani

Zaidi tutoe pole kwa familia yake na ndugu zake na watu waliokuwa karibu naye
Kwa hiyo neno R.I.P litumike vipi ?
 
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya- aliyejiuzulu Mapema Mwezi Mei Amefariki dunia
 
Back
Top Bottom