D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Ndiyo huyoR. I. P mh jaji, hivi huyu ndo aliyejiuzuru hivi karibuni
miss chaga ,mnapata wapi haya maneno, tena mpalestina mwenzako huyuLala kwa amani Upendo, kama ulihukumu kwa haki nawe ndivyo hivyo.
hapana aliyejiuzuru karibuni ni jaji MWENDA, huyu MSUYA alikabiliwa na tuhuma za kutoa dhamana kwa watu wa ngadaNdo yeye kama sikosei, Kuna watu walisema aliomba kustaafu kwa sababu za kiafya ila upinzani wakaona ndo mahala pakuchukulia points kwamba anakinzana na Magufuli. Smh. Apumzike kwa Amani
Maamuzi ya Jaji Upendo Msuya yasababisha watuhumiwa wa madawa ya kulevya kutowekaKweli alikuwa anaumwa, ingawa alihusishwa sana na madawa ya kulevya na kuwatetea wahujumu uchumi.
Na hii ndo ilimfanya ajihuzuri Ujaji miezi mitatu iliyopita.
Maamuzi ya Jaji Upendo Msuya yasababisha watuhumiwa wa madawa ya kulevya kutowekahapana aliyejiuzuru karibuni ni jaji MWENDA, huyu MSUYA alikabiliwa na tuhuma za kutoa dhamana kwa watu wa ngada
Siyo kweli alipingwa na kamishina wa madawa ya kulevya kwamba anawatetea wauza madawa akaamua kujiuzuluRIP jaji ingawa ujaji wako ulipingwa sana na Lissu kuwa haukustahili kuwa jaji
Huyu Mama aliuzulu May wakati RC wa Kilimanjaro Meck anajiuzulu. Sababu za kujiuzulu kwao hazikuwekwa wazi ila ilisikika chini chini kwamba hakuwa mwenye siha njema hadi wakati huo.hapana aliyejiuzuru karibuni ni jaji MWENDA, huyu MSUYA alikabiliwa na tuhuma za kutoa dhamana kwa watu wa ngada
Siyo kweli amesikiliza kesi nyingi sana zikiwemo za madawa ya kulevya ambazo ndizo zilizomletea mzozo na serikali baada ya kuwaachiaToka awe jaji hajawahi kusikiliza kesi yeyote, nasikia hata huo ujaji alipewa na JK ili aweze kupata malupulupu ya ujaji ikiwa ni pamoja na kutibiwa nje ya nchi.
Tetesi: - Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi