Jaji Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145

Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki​

Alhamisi, Agosti 24, 2023

Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu jijini Bujumbura. PICHA | EACJ

Muhtasari​

  • Jaji Omar Othman Makungu, ambaye kwa sasa ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Arusha . Jaji wa Tanzania jana aliapishwa kuwa jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ).

Soma zaidi: Tanzanian sworn in as new East Africa Court judge
 
Hongera Kwa jaji. Aende akatende haki.
 


Sasa huko ataweza kweli kusimamia sheria kweli? Maana huku TZ majaji ni wafuasi waserikali, na hawawezi kufanya kinyume na watawala.
 
Huyu jaji ni Shia au Sunni?
 
Write your reply...JAJI YOHANA YAKOBO TLUWAY usingetoa pongezi..ww bibi acha udini.kpndi cha jk ulikuwa unakesha jf alipoingia magu ukasepa amekuja mama unakesha akija petro utakimbia.
Yaani hiki kibibi,kisingesoma sijui kingekuaje?..ni UDINI UDINI muda wote!
 
🀣🀣🀣🀣 hiyo siku dunia itageuka juu chini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…