The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu chai umekunywa lakini?mada inazungumzia KKKT wewe umeingiza uislam umeona haitoshi unaleta habari za dp worldDP World yazindua jukwaa la E-commerce Tanzania na tayari wametoa fursa za kipekee za Biashara kwa wote. Tuchangamkie fursa
Tunaposema mama anaupiga mwingi huwa hatukisii au kumsifia ili mradi tu. Mama anaupiga mwingi kweli kweli. Wewe unaelalamika, wacha ulalamishi changamkia fursa hizi. Sehemu ya watoa huduma wa kimataifa wa DP World, DUBUY.com inafungua ukanda mpya wa biashara ya kidijitali kwa Tanzania na ukanda...www.jamiiforums.com
Hatari sana hii hao unaoishi nao hapo jirani kwako nawaonea huruma sana.