Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mnataka jaji atoke wapi?Mvinyo ule ule ila chupa tofauti
Bwashee unawezaje ku judge kitabu kwa kukitizama tu? Ngoja tumuone session yake ya kwanza itatupa mwanga.Kwa kumuangalia tu Jaji yuko vizuri!
Na hasa akihukumu bila kuangalia sura ya mtu.Muhimu aitendee haki taaluma yake ili wengi wawe na imani na muhimili wa mahakama Tanzania ambao umekuwa ukipoteza heshima yake kila kukicha.
Muhimu aitendee haki taaluma yake ili wengi wawe na imani na muhimili wa mahakama Tanzania ambao umekuwa ukipoteza heshima yake kila kukicha.
Kwa kumuangalia tu Jaji yuko vizuri!
Umeuwa [emoji23][emoji1787]Mbowe akitaka na huyu abadilishwe nayo pia sio shida, kitu cha muhimu afahamu aliyeko mahabusu ni yeye sio majaji
Bwashee unawezaje ku judge kitabu kwa kukitizama tu? Ngoja tumuone session yake ya kwanza itatupa mwanga.
Uwepo wa mhimili uliojichimbia zaidi kwa mujibu wa katiba ya Tanzania kunatia ukakasi sana:
1. Hawa ni sehemu ya vigogo wanufaika wa lile saga la kutolipa kodi kwa mujibu wa katiba.
2. Hawa hawawajibiki kwa lolote katika maamuzi yao.
3. Hawa ni wateuliwa wa ule mhimili ule wenyewe.
Salama zaidi ya haki kutendeka ilikuwa kwenye me wa jitihada za kudai katiba mpya kwa ari zaidi.
Kusikia miito tu kwa masikio yakiwa makavu hakujawahi kuwa uwezekano kwenye dunia yetu.
It doesn't matter man. All i know hiyo session itatoa picha kama ni mbichi au mbivu.Na wewe session ya kwanza itakupa mwanga akiwa upande wako au wa haki ?
Mkuu una majibu yako. Mana kuna watanzania Zaidi ya Elfu Kumi na tano jela. Sasa sijui hawa haya ya katiba yanawahusu au hayawahusu. Toka 1977 wangapi wamehukumiwa. Je katiba itafanya muuaji asiwe muuaji au Vipi. You are boring.
Inafaa apendekeze kesi ya Mbowe isiendelee kwanza huku akisubiria kwa kukaa ndani mpaka ipatikane Katiba mpya ili apatikane Jaji wanae mridhia atakaetenda haki.Mkuu una majibu yako. Mana kuna watanzania Zaidi ya Elfu Kumi na tano jela. Sasa sijui hawa haya ya katiba yanawahusu au hayawahusu. Toka 1977 wangapi wamehukumiwa. Je katiba itafanya muuaji asiwe muuaji au Vipi. You are boring.