Nazidi kuamini Tanzania imepoteza direction....mkutano kama huu unasaidia nini kwenye maendeleo ya nchi?....Ni jambo jema!
Lakini hao wadau wa siasa peke yao wataongea nini cha maana?
AsanteNgoja nikusaidie kutupia video
View attachment 2044695
Duuh Mutungi bana haishiwi hoja!😁😁😁Ngoja nikusaidie kutupia video
View attachment 2044695
Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake. Wanazungusha maneno kuficha aibu .....!!Huu ni ujinga mtupu. Tija ya huu mkutano ni nini? Wadau wa siasa ni watu gani?
Hii inadhihirisha ile report ya TWAWEZA:
CCM inaungwa mkono na watu wajinga, CHADEMA inaungwa mkono zaidi na watu wenye uelewa. CCM kwa sababu imejaa wajinga, waliona wamepanga mbinu ya akili sana ili kuwapata CHADEMA, lakini kwa sababu mbinu ya mjinga ni rahisi kutambulika na mwenye akili, CHADEMA waligundua mapema dhamira ya kusanyiko hilo.
CCM wamebakia bila namna nyingine yoyote, zaidi ya kuueleza umma ukweli kuwa mkutano huo hauna chochote kwa vyama vya siasa zaidi ya kupiga picha na Rais.
Msajili wa mchongo, akae na kina Cheyo wanamtoshaBaada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais.
======================
“Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa Rais na vyama vya siasa, naomba ieleweke hivi mkutano wa Rais na vyama vya siasa utaitishwa muda ukifika, huu ni mkutano wa wadau wa siasa, tumemuomba @SuluhuSamia aje kufungua tu" Jaji Mtungi, Msajili wa vyama.
===================