Acha hizo, hatuna nchi nyingine ni hiihii. Njooni tuijenge nchi yetu pamoja. Hasira inaumiza mwenye nayoCCM na CCM B, CCM C, CCM D...!!
Bila Chadema wanapoteza muda tu.
Kimefanyika leo kuzindua sijui nembo mpya ya msajili wa vyama vya siasa. Ni vikao visivyo na tija. Cdm wamefanya vizuri kutoshiriki hiyo mikutano ya hadaa. Ccm waachwe wawapigiashe porojo vyama vyake shikizi.hiki kakao kimefanyika lini?
A
Acha hizo, hatuna nchi nyingine ni hiihii. Njooni tuijenge nchi yetu pamoja. Hasira inaumiza mwenye nayo
View: https://youtu.be/WLHyLbnz_R0?si=9x-6sft6Ld41m945
Vikao vya kipuuzi visivyo na tija. Cdm waendelee na shuguhuli zake na sio kushiriki hivyo vikao visivyo na tija. Hakuna chochote chenye tija kinajadiliwa hapo na kutekelezwa, na sababu wanajua vyama vitaenda na kupigishwa porojo na ahadi hewa. Kisha uhuni unafanyika kama kawaida, halafu vikao vya porojo tena. Hongera za cdm kwa kupuuza vikao vya kupotezeana muda.A
Acha hizo, hatuna nchi nyingine ni hiihii. Njooni tuijenge nchi yetu pamoja. Hasira inaumiza mwenye nayo
View: https://youtu.be/WLHyLbnz_R0?si=9x-6sft6Ld41m945
Aifute tu, lakini cdm haiko tayari tena kuburuzwa na hizi taasisi zinazotumika na ccm. inshort cdm wameshafanikiwa kutoka nje ya box la siasa za kuburuzwa na ccm. Waburuzeni hao hao walioamua kubaki ndani ya box la ujinga.chadema waianue ngoma yao juani haraka kabla haijapasuka.
Anaeweza kukusajili anaweza kukufuta, na anaeweza kukuajili kazi anaweza pia kukufukuza kazi.
Waliohudhuria ni matawi ya chama kikuu cha CCM nadhaniKimefanyika leo kuzindua sijui nembo mpya ya msajili wa vyama vya siasa. Ni vikao visivyo na tija. Cdm wamefanya vizuri kutoshiriki hiyo mikutano ya hadaa. Ccm waachwe wawapigiashe porojo vyama vyake shikizi.
Kama kawaida ni matawi ya ccm, wale waliokubali kushiriki uchaguzi wa kihuni. Cdm wameset standard moja ya juu sana, hakuna kushiriki mikutano ya hadaa. Hakuna chochote chenye tija kinajadiliwa kwenye hiyo mikutano kinatekelezwa. Uchaguzi ukifika unaporwa kama kawaida, kisha wanaitwa tena kwenye mjadala ya hadaa na ahadi hewa.Waliohudhuria ni matawi ya chama kikuu cha CCM nadhani
Hii ndo lugha ya mlezi wa vyama? Kwamba Msajili wa vyama vya siasa anamuaddress mwanachama wa CCM Kabudi kuhusu Chama pinzani Kwa Chama chake?Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.
Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake
Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.
Huna akiliChadema ya sahv imejaa upumbavu mwingi, ni viongozi wasiojitambua, utafikiri sijui watoto? Sijui wanafikiri watabembelezwa? Nafikiri wanategemea siku moja wataingia madarakani kwa njia ya uasi na mapinduzi km walivyojaribu mwaka jana. Sema kwanza wanajipotezea muda, wanamtumia huyu Rais vibaya, siku akiingia mtu km Magufuli anawafutilia mbali km ambavyo kipindi cha Magu hao mambwa walikimbia nchi. Mwisho wa hao nyumbu chadema ni kufutwa usajili, wameharibu vijana wetu hao ni kikundi haramu kifutiliwe mbali.
Namuelewa kwanini anasema hivi, ma agent wao wameondolewa na viongozi wa sasaHuna akili
Huu hapa ni uchambuzi wa kiweledi kwanini waliochukua posho ya Msajili leo wameingia kwenye mtego:Chadema wanachukua posho kupitia tone tone
Wenzao nao leo wamepokea posho ya kikao kwa Msajili!!!!
Sijui nani ndio bora?
Mwenye kuchukua ela ya tone tone kwa wananchi mojokwamoja
Au kuchukua Posho ya kikao kutokea office ya Msajili wa vyama!!!!
Tanzania mna safari ndefu sana hadi kuja kupata uhuru wa demokrasia,kama huyo ndiye msajiri wa vyama.Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.
Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake
Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.