Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta


Mratibu wa wizi wa kura wajinga jinga hatuwezi kufanikiwa kama nchi kama mtu kama huyu anaitwa judge!
 
Chadema wakikubali kuhudhuria huo ufwala watakuwa wamejiingiza kwenye vicious circle duara la uovu lisilokatika.
 
Itakuwa ni andaa wizi wa kura iba kura uwa watu njoo kwenye meza ya maridhiano 2030 duara linaanza tenà andaa wizi wa kura iba kura uwa watu njoo kwenye meza ya maridhiano 2035 duara linaanza tenà andaa wizi wa kura iba kura uwa watu njoo kwenye meza ya maridhiano 2040 hivyo hivyo mpaka Karne inakatika. CHADEMA MSIKUBALI HUU UPUMBAVU WAO.
 
Sioni sababu ya kutokwa na povu jingi nanna hii manake hicho kikao wala siyo lazima kuhudhuria na kukosekana kwa hicho chama kinachokutoa nyongo hakuzuii waliohudhuria kuendelea na kikao Chao

Hizi chuki ulizo nazo ni sahihi kabisa Ila zielekeze kwenye umaskini unaokukabili pamoja na kukosa akili utakua umelenga target
 
Eeee huyo ni jaji? Nachukia, Mungu anisaidie nisije kuwa Jaji!!! Kumbe nao wanasomeka hivi?
 

Hawa watu ndiyo wametufikisha hapa tulipo kwa sababu ya kiburi chao. Sasa badala ya kutake responsibility wanaendelea tu kupeleka lawama kwa Chadema.

Chadema waendelee tu kushikilia msimamo wa No Reforms No Election mpaka hawa KENGE watoke damu masikioni.
 
ana kadi ya CCM
 
msaidizi wa M7 wa Uganda alimaarufu MUSA enzi anazurula mipakani namanga humo

mpuuzi sana huyu
 
Zanzibar wana huu mfumo tayari
 
Na nyie kuna wakati mnaboa sana..yaani kila kitu kuzila,kupinga na kukataa mnataka kua nyie muonekana wa maana kuliko vyama vingine? Ili ni moja ya makosa mnayofanya ata kama mbaki mkipinga ila ndivyo ilivyo
Mbona una makasiriko? Huo mkutano ni wa lazima kushiriki? Je Chadema wasipoenda inazuia mtungi na vyama vingine kuendelea na vikao vyao? Mbona inawauma sana chadema kutokushiriki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…