Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Mwisho wa hao watu huwa wa majonzi na majuto; pesa nyingi huwa nazo, ila huwa zinapukutika tu mara wanapoondoka kwa majonzi
Hivi Mihayo bado yupo tanapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa hao watu huwa wa majonzi na majuto; pesa nyingi huwa nazo, ila huwa zinapukutika tu mara wanapoondoka kwa majonzi
Sijaona connection yoyote. Hata kama angechaguliwa Jaji mwingine bado Naye angelikuwa na kesi ambazo ameishazisimamia. Acheni sheria ifuate mkondo wake. Msifikiri viongozi wenu hawawezi kuwa na makosa. Kuamini hivyo ni uashiria wa UDIKTETA!!!Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema.
Uamuzi wa Jaji Luvanda, umesababisha baadhi ya watu kutaka kumjua yeye ni nani, na imekuwaje akawa msimamizi wa Mahakama Kuu Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. SAUTI KUBWAi imefuatilia na inayo machache ya kueleza kuhusu wasifu wa Jaji Luvanda katika kesi za aina hii – “kesi za kimkakati” zinazofunguliwa na dola.
Kwa kifupi, huyu ndiye Jaji Elinaza Luvanda:
Mwaka 2017, Elinaza Luvanda alikuwa katibu wa Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Ferdinand Wambari.
Mwaka 2018, aliteuliwa kuwa mjumbe kwenye Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania hadi Rais John Magufuli alipomteua kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Mwaka 2021, Jaji Luvanda aliwahukumu kifungo cha maisha Shamim Mwasha na mkewe kwa makosa ya mihadarati.
Mwaka 2020, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu ambao walikuwa na kesi ya Addo Shaibu dhidi ya Jamhuri kuhusu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi.
Mwaka 2021, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu waliosikiliza kesi ya Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) – kesi ya kikatiba dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mwaka 2019, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu katika kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Spika Job Ndugai na Mwanasheria Mkuu wa Serikali – kesi ya sakata la CAG Assad kuhojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge.
asante hisani Ngurumo
Mwaka 2019, kesi ya madai ya sh.bilioni 10 ya Bernard Membe dhidi ya Musiba, ilianzia kwa Jaji Luvanda kabla hajahamishiwa Mahakama ya Ardhi na hivyo kesi ikapangwa Jaji De Melo.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda aliwahukumu Anitha Oswald (mfanyakazi wa PPF Moshi) na Frank Moshi (dereva wa teksi) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la mihadarati.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda alitoa uamuzi wa kutaifisha Tsh.16.7 bilioni kuwa mali ya Serikali baada ya DPP Biswalo Mganga kuwasilisha ombi mahakamani kuwa washitakiwa waliokuwa na kosa la upatu hawakuwahi kufika mahakamani tangu kesi ilipoanza. Washitakiwa walikuwa ni kampuni ya IMS Marketing Tanzania.
Ukiunganisha matukio haya na hukumu ambazo Jaji Luvanda ametoa, hatua kwa hatua, unaweza kuona kuwa huyu ni “jaji wa kimkakati” ambaye amekuwa anapewa kusikiliza kesi za kimkakati. Sasa anasikiliza kesi nyingine ya kimkakati inayomkabili Mbowe na wenzake watatu.
Wachambuzi na wachunguzi wetu wanaendelea kumulika mwenendo wa kesi hii na Jaji Luvanda.
Yuko hai kwani?Hivi Mihayo bado yupo tanapa?
Kwa hiyo unakubali una macho lakini kichwani ndiko kwenye tatizo?Kati ya mimi na wewe nani kipofu sasa? Umekiri mwenyewe hapo juu 'hujaona'!! Ungekua una macho, bila shaka ungeona. Ila kwa bahato mbaya ndiyo hivyo tena.
Pole.
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema.
Uamuzi wa Jaji Luvanda, umesababisha baadhi ya watu kutaka kumjua yeye ni nani, na imekuwaje akawa msimamizi wa Mahakama Kuu Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. SAUTI KUBWAi imefuatilia na inayo machache ya kueleza kuhusu wasifu wa Jaji Luvanda katika kesi za aina hii – “kesi za kimkakati” zinazofunguliwa na dola.
Kwa kifupi, huyu ndiye Jaji Elinaza Luvanda:
Mwaka 2017, Elinaza Luvanda alikuwa katibu wa Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Ferdinand Wambari.
Mwaka 2018, aliteuliwa kuwa mjumbe kwenye Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania hadi Rais John Magufuli alipomteua kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Mwaka 2021, Jaji Luvanda aliwahukumu kifungo cha maisha Shamim Mwasha na mkewe kwa makosa ya mihadarati.
Mwaka 2020, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu ambao walikuwa na kesi ya Addo Shaibu dhidi ya Jamhuri kuhusu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi.
Mwaka 2021, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu waliosikiliza kesi ya Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) – kesi ya kikatiba dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mwaka 2019, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu katika kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Spika Job Ndugai na Mwanasheria Mkuu wa Serikali – kesi ya sakata la CAG Assad kuhojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge.
asante hisani Ngurumo
Mwaka 2019, kesi ya madai ya sh.bilioni 10 ya Bernard Membe dhidi ya Musiba, ilianzia kwa Jaji Luvanda kabla hajahamishiwa Mahakama ya Ardhi na hivyo kesi ikapangwa Jaji De Melo.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda aliwahukumu Anitha Oswald (mfanyakazi wa PPF Moshi) na Frank Moshi (dereva wa teksi) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la mihadarati.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda alitoa uamuzi wa kutaifisha Tsh.16.7 bilioni kuwa mali ya Serikali baada ya DPP Biswalo Mganga kuwasilisha ombi mahakamani kuwa washitakiwa waliokuwa na kosa la upatu hawakuwahi kufika mahakamani tangu kesi ilipoanza. Washitakiwa walikuwa ni kampuni ya IMS Marketing Tanzania.
Ukiunganisha matukio haya na hukumu ambazo Jaji Luvanda ametoa, hatua kwa hatua, unaweza kuona kuwa huyu ni “jaji wa kimkakati” ambaye amekuwa anapewa kusikiliza kesi za kimkakati. Sasa anasikiliza kesi nyingine ya kimkakati inayomkabili Mbowe na wenzake watatu.
Wachambuzi na wachunguzi wetu wanaendelea kumulika mwenendo wa kesi hii na Jaji Luvanda.
Wewe tayari umejipambanua kuwa sehemu ya UDIKTETA; kwa hiyo unaona heri hao wengine wasiwe sehemu hiyo!Sijaona connection yoyote. Hata kama angechaguliwa Jaji mwingine bado Naye angelikuwa na kesi ambazo ameishazisimamia. Acheni sheria ifuate mkondo wake. Msifikiri viongozi wenu hawawezi kuwa na makosa. Kuamini hivyo ni uashiria wa UDIKTETA!!!
Leo mnaparurana vijana wa kamanda Mbowe.Kwa hiyo unakubali una macho lakini kichwani ndiko kwenye tatizo?
Weka ushahidi.Elinaza ni TISS in case ulikuwa hujui.Yupo pale kwa ajili ya kupokea maagizo na maelekezo kutoka juu.
Kila siku ni mtu wa malalamiko huna hoja we kijana.Wewe tayari umejipambanua kuwa sehemu ya UDIKTETA; kwa hiyo unaona heri hao wengine wasiwe sehemu hiyo!
Mahakama inaanza kuingiliwa na mbwa wa Mbowe. Acheni kubweka hovyo, huyo ni Jaji na majukumu yake ni kusikiliza kesi na kutoa uamuzi. Msiipangie mahakama jaji yupi anafaa kusikiliza kesi ya nani? Hizo ni dalili za kuona mnashindwa hiyo kesi, na huyo Mwenyekiti wenu lazima anyee debe.Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema.
Uamuzi wa Jaji Luvanda, umesababisha baadhi ya watu kutaka kumjua yeye ni nani, na imekuwaje akawa msimamizi wa Mahakama Kuu Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. SAUTI KUBWAi imefuatilia na inayo machache ya kueleza kuhusu wasifu wa Jaji Luvanda katika kesi za aina hii – “kesi za kimkakati” zinazofunguliwa na dola.
Kwa kifupi, huyu ndiye Jaji Elinaza Luvanda:
Mwaka 2017, Elinaza Luvanda alikuwa katibu wa Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Ferdinand Wambari.
Mwaka 2018, aliteuliwa kuwa mjumbe kwenye Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania hadi Rais John Magufuli alipomteua kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Mwaka 2021, Jaji Luvanda aliwahukumu kifungo cha maisha Shamim Mwasha na mkewe kwa makosa ya mihadarati.
Mwaka 2020, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu ambao walikuwa na kesi ya Addo Shaibu dhidi ya Jamhuri kuhusu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi.
Mwaka 2021, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu waliosikiliza kesi ya Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) – kesi ya kikatiba dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mwaka 2019, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu katika kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Spika Job Ndugai na Mwanasheria Mkuu wa Serikali – kesi ya sakata la CAG Assad kuhojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge.
asante hisani Ngurumo
Mwaka 2019, kesi ya madai ya sh.bilioni 10 ya Bernard Membe dhidi ya Musiba, ilianzia kwa Jaji Luvanda kabla hajahamishiwa Mahakama ya Ardhi na hivyo kesi ikapangwa Jaji De Melo.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda aliwahukumu Anitha Oswald (mfanyakazi wa PPF Moshi) na Frank Moshi (dereva wa teksi) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la mihadarati.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda alitoa uamuzi wa kutaifisha Tsh.16.7 bilioni kuwa mali ya Serikali baada ya DPP Biswalo Mganga kuwasilisha ombi mahakamani kuwa washitakiwa waliokuwa na kosa la upatu hawakuwahi kufika mahakamani tangu kesi ilipoanza. Washitakiwa walikuwa ni kampuni ya IMS Marketing Tanzania.
Ukiunganisha matukio haya na hukumu ambazo Jaji Luvanda ametoa, hatua kwa hatua, unaweza kuona kuwa huyu ni “jaji wa kimkakati” ambaye amekuwa anapewa kusikiliza kesi za kimkakati. Sasa anasikiliza kesi nyingine ya kimkakati inayomkabili Mbowe na wenzake watatu.
Wachambuzi na wachunguzi wetu wanaendelea kumulika mwenendo wa kesi hii na Jaji Luvanda.
Yaliyompata JPM hata wewe yanaweza kukukuta. Duniani wote ni wapita njia. Usiringie hiyo pumzi unayovuta. Inaweza kukatika wakati wowote.Wanajisahau tu ila hawajifunzi yaliyompata jpm
Ni vilaza pekee kama wewe ndio hudhani kila mtu ni "kijana wa Mbowe."Leo mnaparurana vijana wa kamanda Mbowe.
Vipi kwani nae mmemuandalia kesi gani?Tundu Lisu arudi kuungana na jopo la mawakili 14 wa utetezi!
Duuu! Lakini Mungu hashindwi na lolote ,tunamuachia yeyeKwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
JUZI Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa limewekwa na mawakili wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema.
Uamuzi wa Jaji Luvanda, umesababisha baadhi ya watu kutaka kumjua yeye ni nani, na imekuwaje akawa msimamizi wa Mahakama Kuu Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. SAUTI KUBWAi imefuatilia na inayo machache ya kueleza kuhusu wasifu wa Jaji Luvanda katika kesi za aina hii – “kesi za kimkakati” zinazofunguliwa na dola.
Kwa kifupi, huyu ndiye Jaji Elinaza Luvanda:
Mwaka 2017, Elinaza Luvanda alikuwa katibu wa Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Ferdinand Wambari.
Mwaka 2018, aliteuliwa kuwa mjumbe kwenye Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania hadi Rais John Magufuli alipomteua kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Mwaka 2021, Jaji Luvanda aliwahukumu kifungo cha maisha Shamim Mwasha na mkewe kwa makosa ya mihadarati.
Mwaka 2020, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu ambao walikuwa na kesi ya Addo Shaibu dhidi ya Jamhuri kuhusu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi.
Mwaka 2021, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu waliosikiliza kesi ya Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) – kesi ya kikatiba dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mwaka 2019, alikuwa miongoni mwa jopo la majaji watatu katika kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Spika Job Ndugai na Mwanasheria Mkuu wa Serikali – kesi ya sakata la CAG Assad kuhojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge.
asante hisani Ngurumo
Mwaka 2019, kesi ya madai ya sh.bilioni 10 ya Bernard Membe dhidi ya Musiba, ilianzia kwa Jaji Luvanda kabla hajahamishiwa Mahakama ya Ardhi na hivyo kesi ikapangwa Jaji De Melo.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda aliwahukumu Anitha Oswald (mfanyakazi wa PPF Moshi) na Frank Moshi (dereva wa teksi) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la mihadarati.
Mwaka 2020, Jaji Luvanda alitoa uamuzi wa kutaifisha Tsh.16.7 bilioni kuwa mali ya Serikali baada ya DPP Biswalo Mganga kuwasilisha ombi mahakamani kuwa washitakiwa waliokuwa na kosa la upatu hawakuwahi kufika mahakamani tangu kesi ilipoanza. Washitakiwa walikuwa ni kampuni ya IMS Marketing Tanzania.
Ukiunganisha matukio haya na hukumu ambazo Jaji Luvanda ametoa, hatua kwa hatua, unaweza kuona kuwa huyu ni “jaji wa kimkakati” ambaye amekuwa anapewa kusikiliza kesi za kimkakati. Sasa anasikiliza kesi nyingine ya kimkakati inayomkabili Mbowe na wenzake watatu.
Wachambuzi na wachunguzi wetu wanaendelea kumulika mwenendo wa kesi hii na Jaji Luvanda.
JF haifuti kila anachochangia mtu, kama siyo cha kuudhi.Kila siku ni mtu wa malalamiko huna hoja we kijana.
Endeleeni kulishwa matango poriKwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?