"Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

Sijaona connection yoyote. Hata kama angechaguliwa Jaji mwingine bado Naye angelikuwa na kesi ambazo ameishazisimamia. Acheni sheria ifuate mkondo wake. Msifikiri viongozi wenu hawawezi kuwa na makosa. Kuamini hivyo ni uashiria wa UDIKTETA!!!
 
Kati ya mimi na wewe nani kipofu sasa? Umekiri mwenyewe hapo juu 'hujaona'!! Ungekua una macho, bila shaka ungeona. Ila kwa bahato mbaya ndiyo hivyo tena.

Pole.
Kwa hiyo unakubali una macho lakini kichwani ndiko kwenye tatizo?
 
 
Hivi mshitakiwa si huwa na uhuru wa kimkataa jaji/hakimu?
 
Sijaona connection yoyote. Hata kama angechaguliwa Jaji mwingine bado Naye angelikuwa na kesi ambazo ameishazisimamia. Acheni sheria ifuate mkondo wake. Msifikiri viongozi wenu hawawezi kuwa na makosa. Kuamini hivyo ni uashiria wa UDIKTETA!!!
Wewe tayari umejipambanua kuwa sehemu ya UDIKTETA; kwa hiyo unaona heri hao wengine wasiwe sehemu hiyo!
 
Mahakama inaanza kuingiliwa na mbwa wa Mbowe. Acheni kubweka hovyo, huyo ni Jaji na majukumu yake ni kusikiliza kesi na kutoa uamuzi. Msiipangie mahakama jaji yupi anafaa kusikiliza kesi ya nani? Hizo ni dalili za kuona mnashindwa hiyo kesi, na huyo Mwenyekiti wenu lazima anyee debe.

Kama nyinyi mnamuona Mbowe ni mtu special sana kwamba inabidi atafutiwe jaji wa kipekee, basi jamhuri inamuona kama washtakiwa wengine wa wizi wa kuku n.k.
 
Wanajisahau tu ila hawajifunzi yaliyompata jpm
Yaliyompata JPM hata wewe yanaweza kukukuta. Duniani wote ni wapita njia. Usiringie hiyo pumzi unayovuta. Inaweza kukatika wakati wowote.
 
Duuu! Lakini Mungu hashindwi na lolote ,tunamuachia yeye

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Kila siku ni mtu wa malalamiko huna hoja we kijana.
JF haifuti kila anachochangia mtu, kama siyo cha kuudhi.

Tulinganishe unachochangia wewe humu tokea 2020 na niliyochangia mimi, tuone ukweli uko wapi.

Tena nimekupa heshima sana kuendelea kujibishana nawe hapa.
 
Endeleeni kulishwa matango pori
 
Kwa kumweka Simba kuwa msajili wa mahakama, mahakama nzima imetiwa unajisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…