"Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

Cc tutangoja mwisho wake ili tuone atamalizaje mwendo wake hapa duniani Mana wenye macho na masikio wameshashuhudia mwisho wa mmoia was watesi aliekua akiogopwa Kama shetani.
 
Pia Watu Kama Hawa unakuta ana pesa nyingi lakini mtoto wake wa kiume Ni asusa ya wanamme wenzie. Kule TANGA niliona mzee mmoja tajiri lkn dhulmat. Mtoto wake dume Lina kazi nzuri lakini linaliwa tiGO mchana kweupe. Mzee alikua akiliia machoxi watu wakija kumuita wakamtigolize.
 
Ajiangalie sana
 
Lazima kuna namna Mungu anawalipa. Kuna siri nyingi kama hizi binafsi nazijua. Ni mawaziri wengine wakuu wa vitengo nyeti. Huwa nawaona wanavyojishaua kwenye vyombo vya habari nabaki kuwaonea huruma tu. Wanatembea na maumivu makali.

Mfano ni inasemekanaJiwe alikuwa na Mama yake ktk vegetative state for more than 5yrs. Hii hali ukiwa ni mama yako huwezi kuwa na nafai nzuri
 
Hivi mshitakiwa si huwa na uhuru wa kimkataa jaji/hakimu?
inasemekana aliambiwa achague Kati ya majaji hawa wawili
1.biswalo mganga
2.jaji luvanda.
Wakaona bora ya Huyu
 
Hivi Chadema ingetokea kupewa Ikulu mauaji wetu wangekuwa huru kweli? Matendo yao yanaoonesha wazi hawaamini kwenye utawala wa sheria na impartiality of the judiciary.
 
Ajiangalie sana
Acheni kumtishia Jaji. Sijui mna mapungufu gani .
Hivi si nyie ndiyo mnajifanya kuhubiri haki na utawala wa kisheria. Acheni mahakama zetu ziwe huru. We need to see the impartiality of our judicial system. In a rule of law judges must not harbour any preconceptions about the matter put before them. They must not act in ways that promote the interests of one of the parties. Mmeshindwa kushinikiza serikali sasa mnajaribu kuhamia mahakamani. Watu wa kupuuzwa sana nyie.
 

15 April 2018

UTEUZI: Rais Magufuli ateua Majaji 10, Naibu DPP, Naibu DAG, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake
Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli mbele ya waziri wa Sheria na katiba Prof. Palamagamba Kabudi na Jaji Mkuu Mh. Prof. Ibrahim Hamis Juma, akitangaza majina ya majaji wapya kuziba upungufu wa majaji unaoikabili Mahakama Kuu ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…