"Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

Kama Kuna sehemu amekosea kimaamuzi kwa Kuzingatia Sheria yetu tunaomba wanasheria muliopo kwenye jukwaa mtiririke. Kama hakuna tumuache afanye kazi yake
 
Mnataka katiba mpya, haki na uhuru huku mnatisha majaji- HOVYO
 
Kweli huyo Luvanda yuko kazi mbili mbili ,....
 
Mnataka katiba mpya, haki na uhuru huku mnatisha majaji- HOVYO
kakojoleshwe ulale, wewe umeona mtu anatisjw hapo au anakumbushwa damu ya watu italia mpaka kizazi cha ne? hayo ni maandiko yapo ki biblia ambapo Luvanda ni mkristo na hayo maneno hayabaki bure.
 
kakojoleshwe ulale, wewe umeona mtu anatisjw hapo au anakumbushwa damu ya watu italia mpaka kizazi cha ne? hayo ni maandiko yapo ki biblia ambapo Luvanda ni mkristo na hayo maneno hayabaki bure.
Ndiyo kutisha kwenyewe huko- nyie msubirieni ale mvua za kutosha- malipo ni hapa hapa duniani.
 
Inajulikana sana kuwa ni jaji anaepangwa ili kutekeleza MATAKWA ya serikali ya ccm.
Acha aendelee kumtumikia shetani ila nae hukumu yake ipo kwa Mungu wa haki.
 
Sasa wewe unaposema lazima anyee debe mbona na wewe umeshaamua kesi kabla hata haijasikilizwa.

Inaonekana hii kesi kweli ni ya kimkakati na tayari iliishaamuliwa kitambo na yanayofanyika ni Window Dressing tu kwani Tanzania ya sasa huwezi kutenganisha mahakama na serikali.

Mwl Nyerere alileta sheria ya kuweka watu kizuizini baada ya kuona majaji wa wakati huo wakiachilia watuhumiwa wa vyesi vinavyobumbwa na serikali kwa kukosa ushahidi kitu ambacho majaji wa leo hawawezi kuthubutu kukifanya kwa sababu ujaji leo unatolewa kama fadhila na wala sio kwa weledi.
 
Inajulikana sana kuwa ni jaji anaepangwa ili kutekeleza MATAKWA ya serikali ya ccm.
Acha aendelee kumtumikia shetani ila nae hukumu yake ipo kwa Mungu wa haki.
Mungu asimame na CHADEMA?
 

Mkuuu huwezi kutoka nje na moyo na mwelekeo yako. Uko very biased and that’s an intellectual suicide. Na mimi nisiyekujua naweza kuwa prejudiced na kukuona kuwa wewe Ni CHadema au pro Mbowe egal Where truth lies.

Mko wengi sana humu JF na Sasa huwezi tofautisha JF na vikundi vya vyama vya siasa. Hakuna kati yenu anayependa kutoka nje ya mlengo Wake na kuwa objective. We have the Know all.
 
Hivi huwa hairuhusiwi kumkataa Jaji au Hakimu kwa kutokuwa na Imani nae?
 
Duuuh kumbe wewe ni jaji kweli ?!!

Basi huko mahakamani utakuwa unawaonea watu sana wasio wa imani yako.....

Maandiko yako humu ndani yanaonesha hayo.....

Waafrika tuna safari ndefu sana ya kwenda....mmmh yaani Jaji huwa unajaa ubaguzi juu ya wengine hatari sana.....

Kizazi kijacho hakitakuwa na mihemko ya ubaguzi wa kidini ya hizo dini zilizokuja kutoka ughaibuni....

#AgainstHate
#AgainstBigotry
#AgainstRacism
#AgainstRadicalism
#AgainstAntiSemitism

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Sijaona kitu humo kuunganisha chochote cha "mkakati".
Babu yangu alikuwa na usemi "pamoja na kunitolea mimacho yako kama bulb bado umeshindwa kuniona".... Ulinichukua muda mrefu sana Kumuelewa...
 
Kwa sasa wanacho kifanya Wafuasi wa Mbowe na Viongozi ni kuishinikiza Mahakama ili iamue kesi ya Mbowe kwa Matakwa yao.
ni vyema Majaji wakawa na msimamo, kamwe wasikubali kuyumbishwa na maneno ya wahuni wachache.
Wafuasi wa Mbowe wao wanaamini kuwa Haki itakuwa imetendela pale tu Mbowe atakapo achiwa huru, ikiwa hivyo basi wataimba nyimbo za kupamba na kusifia, kinyume chake watazua uzushi na matusi.
Chonde chonde Mahakama kamwe zisiyumbushwe na maneno ya ovyo ya hawa wahuni wa Chadema ambao lengo lao ni kuichafua nchi na vyombo vyake.
Lengo la Chadema ni kuchafua nchi na vyombo vyote;
wanalichafua Jeshi la Polisi, DPP, na sasa Mahakama, tusipo washughulikia hawa wahuni watatukojolea kichwani.
Amani na Heshima yetu lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile.
tusiwaache na huu uhuni wa kushinikiza matakwa yao na wanapo fanikiwa wanawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
nyoka ndumila kuwili kabisa. gonga kichwa usigonge mkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…