Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Wao CDM wanashabikia tu...
 
To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Mkuu mahakamani si kwa shangazi wala mjomba.. unaweza kwenda uneniandaa hvi unakakutana na hiki.. zingatia anafanya close examination ni lisuu..
 
Video ambayo haipo mahakamani? Kumbuka ilishakataliwa na mahakama maana haijitoshelezi
 
Hawawezi kuja maana wanajua watakuja KUDHALILISHWA na maswali ya Lissu

Pata picha CDF anaulizwa wewe una akili timamu kweli?😂😂😂😂😂
 
Sio kwamba waenda kutoa Ushahidi wa kumfunga Lissu
Muda ndio Mwalimu

Mana wale sio Machadema
Hawawezi mtetea Lissu
kivyovyote ili chezo linaenda kuwaTamu na fundisho kuwaita ktk utetezi watu wa Serikali 🤠✍️
Mkuu sheria inataratinu zake..Lissu anaweza kuwaoji nje kabisa ya kesi inayomkabili kwa nia ya kuwaonesha wananchi waone namna viongozi wao wanavyotekeleza majukumu yao. Mfano Alaulizwa IGP aseme ni sheria gani inamruhusu mtu kukamatwa alafu akazungushwa siku nzima then akarudishwa kwake?
CDF ni taratibu gani inaruhusu Jeshi la Wananchi kushiriki kwenye zoezi la kulinda vituo vya uchaguzi?
 
Hawa jamaa hawatakuja mahakamani. Wakijichanganya wakubali kuaibika maana vyombo vyao vimeua watu na vina makosa mengi. Labda aje Kingai maana yeye huwa anajitoa ufahamu siku zote
 
Hawa jamaa hawatakuja mahakamani. Wakijichanganya wakubali kuaibika maana vyombo vyao vimeua watu na vina makosa mengi. Labda aje Kingai maana yeye huwa anajitoa ufahamu siku zote
Bahati nzuri anayetengeneza foundation ya maswali yanayoweza kuulizwa na Mawakili wa Serikali ni muongoza Shahidi ambaye ni Lisu.
Lisu atatengeneza mahojiano yanayoegemea upande wa kushambuliwa kwake na vi9ngozi wa CHADEMA kushikililiwa then Mawakili wa Serikali wakaona hawana nia ya kuendelea na mahojiano kwa nia ya kuwapunguzia aibu mabos wao.
 
Sasa video iko wapi Mahakama nayo ijiridhishe ?

Japo nafahamu Mahakama zetu hazipo huru...wanaweza kuhukumu hivyo hivyo...

Kesi za Uhaini miaka ya nyuma kipindi Cha Nyerere...zinaletwa full evidence mbele ya Mahakama... Kuonyesha njama za kupindua Serikali...

Lakini hii ya Lissu itakuwa kituko miaka ya mbeleni watu wakiisoma...yaani sijui kuvuruga Uchaguzi, Kukinukisha.. kuhamasisha Uasi nk nk ambavyo vyote hivyo hakuna Uhaini
 
Mfano kwa Heche ni kama hawatakuwa na ya kuuliza maana Lissu kapeleka angle nyingine tofauti kabisa.
 
Wajuvi ninaswali
Ivi hao mashahidi wa lissu wakija wakasema, sisi kama mashahidi wako tunathibitisha kwamba wewe ni muhaini na umefanya uhaini kwa hotuba yako ile inaonesha uhaini.

Navojua ni unaleta shahidi ili akutetee na kuthibitisha kuwa hujafanya kosa, sasa ikiwa shidi wa lissu Na ndio shahidi lissu kumtetea katika negative way kuinesha kwamba ametenda kosa amekosea hapo itakuwaje upande wa lissu si hasara sana hii ??

Hapo itakuaje kusheria ???
 
Lissu kuna mtego amewasetia hao nyumbu muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…