Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 751
- 1,315
HUKU WASIJE, WATAACHA NDALA
Ni waongo, hii ni sad news kwao, sio kwa Lissu.
Kama shahidi wako anatoa ushahidi dhidi yako unakuwa na haki ya kumtangaza kuwa ni "hostile witness" ambapo sasa unakuwa na haki ya kumuuliza maswali ya dodoso (cross examination).Wajuvi ninaswali
Ivi hao mashahidi wa lissu wakija wakasema, sisi kama mashahidi wako tunathibitisha kwamba wewe ni muhaini na umefanya uhaini kwa hotuba yako ile inaonesha uhaini.
Navojua ni unaleta shahidi ili akutetee na kuthibitisha kuwa hujafanya kosa, sasa ikiwa shidi wa lissu Na ndio shahidi lissu kumtetea katika negative way kuinesha kwamba ametenda kosa amekosea hapo itakuwaje upande wa lissu si hasara sana hii ??
Hapo itakuaje kusheria ???
Hawa jamaa hawatakuja mahakamani. Wakijichanganya wakubali kuaibika maana vyombo vyao vimeua watu na vina makosa mengi. Labda aje Kingai maana yeye huwa anajitoa ufahamu siku zote
Tofauti ya hizo examination mbili kitaalamu ni zipi?Nimefuatilia wadau wengi kwa kutojua au kwa kujitoa ufahamu wanadai, kwamba Lissu atafanya "examination- in -chief" tu na wanadhani hawezi kufanya "cross -examination" wanasahau kifungu cha 163 cha Sheria ya Ushahidi yaani " Evidence Act [Cap. 6 RE: 2019] kitampa ruhusa ya kufanya cross-examination endapo hali zifuatazo zikijitokeza:
1. Shahidi akikahidi kujibu maswali halali, kuonyesha ukahidi ulio wazi kwa ujumla.
2.Endapo itathibitika kwamba shahidi anaonyesha upendeleo uliowazi kwa upande ambao haujamuita.
3. Endapo Shahidi atatoa ushahidi tata unaojichanganya alioutoa awali.
Endapo shahidi atafanya moja wapo ya mambo hayo hapo juu, Lissu kwa idhini ya majaji anaweza akaomba shahidi achukuliwe kama " hostile Witness" na ataomba afanye cross examination.
Sheria ni kama mchezo wa draft, hesabu upigwa kabla ya kusukuma kete, naamini kete yake moja wapo ni hiyo.
Nawasilisha
Kumbe ndio ivyo basi mambo yamekaa poa sana team hakiKama shahidi wako anatoa ushahidi dhidi yako unakuwa na haki ya kumtangaza kuwa ni "hostile witness" ambapo sasa unakuwa na haki ya kumuuliza maswali ya dodoso (cross examination).
Naona buku7,ndio zinatoweka!
Jamaa ni katiri sana, hata ukimuona tu alivyoWambura anazingua sanaa
Ahahaaa...! Huko waliko wameanza kupanga mbinu mahakama iwakataeThise guys hawatokaa wakanyage🤣
Huyu ametudisapoint wengi sana. Nilimuamini pakubwa. Imeniuma sana kumuona kuzindua bwawa. Pia ameenda kumuona kizimkazi. Gerezaji kwa TAL hawajawahi enda hata mahakamani haji. Ana chuki ya wazi kabisa na TALWakae kwa kutulia, this time wamekanyaga pabaya, walizoea kwa mbowe rahisi kurubuniwa.😂😂😂😂
Kwenye "examination -in-chief" upande uliomleta Shahidi, ndio umwongoza Shahidi kuelezea hoja yenye lengo la kujenga kesi au utetezi kwa upande uliomleta.Tofauti ya hizo examination mbili kitaalamu ni zipi?
Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!To me hii ni habari mbaya kwa lissu
Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi
Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda
That's is sad news
Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!Ktk kosa watafanya hao jamaa ni kukubali kwenda mahakamani. Naona kabisa Kuna dalili za watu kuaibishwa na kufedheheshwa.
Si ndo furaha ya ccm lisu asipone.kwaninu unasema ni bas news?To me hii ni habari mbaya kwa lissu
Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi
Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda
That's is sad news
Kwenye hao mashahidi wote atakayebanwa sana na LissuHUKU WASIJE, WATAACHA NDALA
Hata kama wasingekuja kama imepangwa imepangwa tuTo me hii ni habari mbaya kwa lissu
Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi
Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda
That's is sad news
Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
To me hii ni habari mbaya kwa lissu
Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi
Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda
That's is sad news