Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Lisu amejimaliza. Kumbuka kuwa uwanjanmpana alionao ni WA examination in chief , na kwa kuwa hawakubalianj haitakaa sawa. Katuga ana nafasi kubwa Sana kutengeneza kesi yake kupitia cross examinatio na kama lisu atajidanganya kuwa cross examine kwenye re examination atapigwa objections
Labda Lissu wa Lumumba ndio atakuwa na strategy za kishamba kama hizi.
 
Hivi unafahamu procedure za adversarial common law examination?

Hapo lissu kajimaliza mwenyewe kwa sababu KATUGA kapata watu wa kukamilisha ushahidi wake kwenye cross . Yeye kazi yake ni rahisi Sana. Ni kweli kwamba video ilihamasisha uhaini............Ndio. Wao ni ndio tuu. Lisu kwenye re examination Hana Cha kuwafanya kwa sababu nature ya maswali kwenye re examination ni tofauti na re axamination
Kwa hiyo mjomba ukijibu ndio ndio, unakuwa umemaliza kila kitu?

Tutarudi kukumbusha hizi ndio ndio ndio unazosema.
 
Machawa wa Veggies mbona yanawatoka sanaa? Wao wameitwa waje kutolea ushahidi ili tujue mbivu.na mbichi.
Sasa kelele za nini?
wanaosema kwamba LISSU amejikaanga nashindwa kuwaelewa, Je Lissu mwenyewe hajajua athari za kuwaita hao? Pili, ikiwa hao watu ni potential kwa akina Katuga, ni kwanini Katuga aliwawekea pingamizi wasifike mahakamani kama mashahidi?
 
Wajuvi ninaswali
Ivi hao mashahidi wa lissu wakija wakasema, sisi kama mashahidi wako tunathibitisha kwamba wewe ni muhaini na umefanya uhaini kwa hotuba yako ile inaonesha uhaini.

Navojua ni unaleta shahidi ili akutetee na kuthibitisha kuwa hujafanya kosa, sasa ikiwa shidi wa lissu Na ndio shahidi lissu kumtetea katika negative way kuinesha kwamba ametenda kosa amekosea hapo itakuwaje upande wa lissu si hasara sana hii ??

Hapo itakuaje kusheria ???
Hapo lazima Lissu akupitishe kwenye tanuri la Moto.
 
To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Unajua hao aliotaka waje kama mashahidi ni nani? utakuwa mjinga wa kiasi gani utake aje shahidi ambaye unajua ana ushahidi wa kukwangamiza, hao watapambana na dodoso na matokeo ni kufungua jini kwenye chupa.
 
Sasa video iko wapi Mahakama nayo ijiridhishe ?

Japo nafahamu Mahakama zetu hazipo huru...wanaweza kuhukumu hivyo hivyo...

Kesi za Uhaini miaka ya nyuma kipindi Cha Nyerere...zinaletwa full evidence mbele ya Mahakama... Kuonyesha njama za kupindua Serikali...

Lakini hii ya Lissu itakuwa kituko miaka ya mbeleni watu wakiisoma...yaani sijui kuvuruga Uchaguzi, Kukinukisha.. kuhamasisha Uasi nk nk ambavyo vyote hivyo hakuna Uhaini
Usisahau na nyimbo za akina Diamond, Konde nazo zimo, yaani mambo ya hotuba za kisiasa zinarejerewa na mambo ya sanaa ambayo yana hati miliki!
 
Hii ni red alert kwa Ndugu zetu Maaskari. Mtatumikishwa kwenye kazi chafu lakini itapofika muda wa uwajibikaji Wanasiasa watakaa pembeni wakikuachia jumba bovu upambane leo.

Lissu anakuvua nguo vizuri tu.
HILI NAlLIANDIKA KWA HERUFI KUBWA
NI HIVI, NDANI YA MUDA MFUPI UJAO CCM NA SERIKALI YAKE WANAENDA KUTUNGA SHERIA YA KUWALINDA WASISHITAKIWE AMA KUWAJIBISHWA KWA MAKOSA WALIYOTENDA.
 
Back
Top Bottom