Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Si walishapinga kuhusu hao mashahidi na wakatoa sababu zao,mahakama ikapima ikaona ushahidi wao ni relevant hivyo waitwe!Sasa swali,wanaweza kukata rufaa kwa jambo Hilo Hilo na hiyo rufaa wanakata wapi?Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.