Mkuu National Security Act or Tanz LII inaonesha vitu kama Espinange ans subotage, communication of certain information, protection of classified information, Bails, terrorism etc. Ila hakuna sehemu inayompa wakuu wa vyombo vya usalama kama IGP au CDF kutangaza hali ya hatari.
Mimi siyo msomi wa Sheria ila nina katiba ya nchi zaidi ya 50 kwenye kabati langu nazisoma na kuzielewa kwababu nina basic knowledge ya Sheria.
Katafute kitabu kilichoelezea Katiba ya Amerika inaitwa Ragged Constitution utapata mawazo mazuri sana kama wenzetu waliwaza mambo mazuri yaliyoishi tokea 1798 hadi leo ila sisi 2014 tu tunawaza vitu visovyoweza kuishi hata miaka 10 baadae.