econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Kwa hivyo mahakama ipo against Lissu? Navyojua Hawa ni mashahidi wa Lissu sio serikali.Mpaka mahakama imewaita means wanataka hiyo case, aisee ni bad news
Kwa hivyo mahakama ipo against Lissu? Navyojua Hawa ni mashahidi wa Lissu sio serikali.Mpaka mahakama imewaita means wanataka hiyo case, aisee ni bad news
Yaani wewe unachomaanisha ni kwamba hizi ndio tu hazitapimwa na chochote ili kujiuliza kama hii ndio ni sahihi au imetolewa bila uhalali?Hivi unafahamu procedure za adversarial common law examination?
Hapo lissu kajimaliza mwenyewe kwa sababu KATUGA kapata watu wa kukamilisha ushahidi wake kwenye cross . Yeye kazi yake ni rahisi Sana. Ni kweli kwamba video ilihamasisha uhaini............Ndio. Wao ni ndio tuu. Lisu kwenye re examination Hana Cha kuwafanya kwa sababu nature ya maswali kwenye re examination ni tofauti na re axamination
Hii ni red alert kwa Ndugu zetu Maaskari. Mtatumikishwa kwenye kazi chafu lakini itapofika muda wa uwajibikaji Wanasiasa watakaa pembeni wakikuachia jumba bovu upambane leo.
Lissu anakuvua nguo vizuri tu.
Najiuliza kwanini Usalama wa Taifa wamejiwekea kinga halafu wamewaacha wenzao wa vyombo vingine wanapambana na hali zao. Hii si ni dharau ya wazi kabisaaa?HILI NAlLIANDIKA KWA HERUFI KUBWA
NI HIVI, NDANI YA MUDA MFUPI UJAO CCM NA SERIKALI YAKE WANAENDA KUTUNGA SHERIA YA KUWALINDA WASISHITAKIWE AMA KUWAJIBISHWA KWA MAKOSA WALIYOTENDA.
sure! naona hata kina Ndunguru wameshachoka na hiyo kesi ya mchongoMimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
huyo jamaa ametamka kunyongwa kirahiiiisi! Lissu sio wa kuguswa hivyo. Alichokibeba Lissu ndani yake ni cha tofauti. Risasi 16 za moto zilishindwaKumhukumu kumnyonga Lissu haitatokea kamwe.
hilo haliwezekani. Amri imeshatolewa, summons zishapelekwa! tuna siku 14 tu (zimeanzia juzi)Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.
Acha wadhalilike kwa uchawa waoCCM apparatchik wamewatumia vibaya sana hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama
Ndio hatajua HAJUIKwenye hao mashahidi wote atakayebanwa sana na Lissu
ni Kingai
Ni swala la muda tu nao watalindwa.Najiuliza kwanini Usalama wa Taifa wamejiwekea kinga halafu wamewaacha wenzao wa vyombo vingine wanapambana na hali zao. Hii si ni dharau ya wazi kabisaaa?
Wanasiasa wajanja sana tofauti na watumishi wa ummaMkuu sheria inataratinu zake..Lissu anaweza kuwaoji nje kabisa ya kesi inayomkabili kwa nia ya kuwaonesha wananchi waone namna viongozi wao wanavyotekeleza majukumu yao. Mfano Alaulizwa IGP aseme ni sheria gani inamruhusu mtu kukamatwa alafu akazungushwa siku nzima then akarudishwa kwake?
CDF ni taratibu gani inaruhusu Jeshi la Wananchi kushiriki kwenye zoezi la kulinda vituo vya uchaguzi?
Kwa hivyo mahakama ipo against Lissu? Navyojua Hawa ni mashahidi wa Lissu sio serikali.
Ni swala la muda tu nao watalindwa.
Watu wanalichukulia poa ili aisee..yaani wanafikiria kishabiki kabisa wanafikiri kua labda zile kauli za kutweza,kudharau ambazo Lissu anapenda sana kuzitumia basi ata hao wataogopa nk., TUMUOMBEE TU LISSU ARUDI URAIANI ILI MAISHA YAENDELEE.To me hii ni habari mbaya kwa lissu
Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi
Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda
That's is sad news
Kwahiyo shahidi asipokujibu unavyotaka basi umeshinda kesi..Hivi mnafikiri mtu kufikia DCI,IGP na CDF ni kuokotwa tu njiani. Tuwe watulivu na kumuombea Lissu kurudi uraiani.CDF na IGP Lissu ana hamu nao,kwa kweli, Sasa Serikali inaanza msiba mwingine wa viongozi kuaibika mchana kweupe!
Kweli,hivi unajua ata Adolf Hitler kule Ujerumani kuna watu wengi wanamuenzi? Hii tunaita 96 au 69Lissu atawauliza maswali ya kichokozi sana, hasa kwenye maeneo tofauti tofauti ya ushahidi wa Heche, Kamata kamata ya wapinzani, watu kutekwa na kupotezwa, mauaji wakati wa kampeni na chaguzi, na aliyetoa amri ya shoot to kili Oktoba 29. Kwa nafasi zao wakijibu hawajui ni kujimaliza. Hata kama mahakama itaamua infavor ya Jamhuri lakini weaknesses za vyombo vya usalama zitakuwa exposed. Ambayo ni hatari zaidi kwa usalama wa nchi.
Kwangu Lissu ana turufu yake hapo kubadilisha hali ya nchi, hata wakimnyonga ataingia kwenye kumbu kumbu za nchi na ulimwengu kama mwanamageuzi wa karne!
Ndugu,kipengele kipi kinasema shahidi anaweza kulazmishwa kuja kutoa ushahidi . Unasema mimi ni shahidi kwa kutumia mahakama then nakuja alafu najibu sijui...sijui nk.Kwani shahidi nafungwa kwa kusema sijui chochote?Hao ni mbuzi wa kafara kum protect Samia kusimama kizimbani, na mahakama haiwezi kukataa mashahidi anaowataka mtuhumiwa alafu mwisho wa siku hukumu iwe against mshtakiwa, tena kwa kesi nzito kama hii mshtakiwa ana uwezo wa kumtaka shahidi yoyote na akafikishwa mbele ya court pasipo pingamizi
Naomba urudie tena kusoma huku ukihusianisha na tuhuma za uhainiNdugu,kipengele kipi kinasema shahidi anaweza kulazmishwa kuja kutoa ushahidi . Unasema mimi ni shahidi kwa kutumia mahakama then nakuja alafu najibu sijui...sijui nk.Kwani shahidi nafungwa kwa kusema sijui chochote?