wrong turn
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 438
- 170
daaaahh... ntaumia sana Magu akiacha hivyo vindumbwendumbwe vitatuPole sana Kama ni mmojawapo Wa wale wanaodhani Sasa amepatijana mkombozi, wapi watakaotolewa kafara Ila wengi watalindwa kwa nguvu zote ili kulinda heshima ya chama
Mimi sielewi huo usiri unatokana na nini? Hii si fingerprinting tu! Kuna siri gani hapo?. Endapo kutakuwa na conflict of interest na mjumbe yeyote wa hiyo kamati ya bunge, basi mhusika akae kando. Naomba Ndungai awe makini kwa hilo.Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011.
Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu kuuzuia mkataba kati ya Lugumi Enterprises Ltd na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuutoa hadharani kwa wasio husika nao ni kukiuka taratibu za jeshi hilo.
Aidha ndugu Rwegasira amesema kuwa watakaoruhusiwa kuuona mkataba huo ni kamati ya bunge yenye mamlaka na jeshi la polisi nchini ambayo ni ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na si vinginevyo.
Hivi wewe Bawacha una akili timamu kweli? Atumbue nini sasa hapo wakati jambo lenyewe haliko wazi kama ni kashifa kweli au lah? Hivi ulimsikia mwenye kiti wa PAC.Hapo ndo mtajua pombe siyo chai!! Eti kutumbua majipu? Tumbua hilo hapo basi tukusikie, mbona unaishia kutumbu vichunusi nawe unajitapa unatumbua majipu? Ila na wewe mleta mada naomba nikutukane basi japo kidogo, mamamaeeeeee unaletaje habari bila chanzo?
Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011.
Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu kuuzuia mkataba kati ya Lugumi Enterprises Ltd na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuutoa hadharani kwa wasio husika nao ni kukiuka taratibu za jeshi hilo.
Aidha ndugu Rwegasira amesema kuwa watakaoruhusiwa kuuona mkataba huo ni kamati ya bunge yenye mamlaka na jeshi la polisi nchini ambayo ni ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na si vinginevyo.
Nakala kwa Mag 3 .Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011.
Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu kuuzuia mkataba kati ya Lugumi Enterprises Ltd na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuutoa hadharani kwa wasio husika nao ni kukiuka taratibu za jeshi hilo.
Aidha ndugu Rwegasira amesema kuwa watakaoruhusiwa kuuona mkataba huo ni kamati ya bunge yenye mamlaka na jeshi la polisi nchini ambayo ni ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na si vinginevyo.
Maagizo kutoka mamlaka gani? Kama yeye ni Katibu Mkuu ameagizwa na Rais au Waziri Mkuu au Waziri wa Mambo ya Ndani?Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011.
Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu kuuzuia mkataba kati ya Lugumi Enterprises Ltd na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuutoa hadharani kwa wasio husika nao ni kukiuka taratibu za jeshi hilo.
Aidha ndugu Rwegasira amesema kuwa watakaoruhusiwa kuuona mkataba huo ni kamati ya bunge yenye mamlaka na jeshi la polisi nchini ambayo ni ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na si vinginevyo.
Hebu mkuu tupe source, kama ni the guardian mbona kwenye hii habari yako kuna chumvi nyingi?Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani jaji Projest Rwegasira ametoa ya moyoni kuhusu mkataba iliyopewa Lugumi Enterprises Ltd kusambaza vifaa maalum vya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vyote vya jeshi la polisi nchini mwaka 2011.
Ndugu Rwegasira amesema kuwa ameagizwa na mamlaka ya juu kuuzuia mkataba kati ya Lugumi Enterprises Ltd na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuutoa hadharani kwa wasio husika nao ni kukiuka taratibu za jeshi hilo.
Aidha ndugu Rwegasira amesema kuwa watakaoruhusiwa kuuona mkataba huo ni kamati ya bunge yenye mamlaka na jeshi la polisi nchini ambayo ni ya mambo ya nje, ulinzi na usalama na si vinginevyo.
Yaani huyo mleta mada kawashika na nyinyi mkakubali kushikika? Tafuta the guardian usome kama kweli hiyo habari ipo hivyo kama jamaa alivyoamua kuitengeneza.Thubutu! mkataba unaohusu familia ya mfalme na mtoto wake uwekwe wazi? lile limshamba toka Magu limeshasepeshwa
Umeona mkuu ngoja tusubiri.tutaamuaKipimo kizuri kwa awamu ya tano kuhusu dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi (kama ilivyokwisha semwa na wengi). Tusubiri kwanza tuone mwisho na tuhukumu.
Magufuli anajipanga namna yakuchomoka hapo awaokoe waliomuweka madarakani....Huu mkataba nao unafigisufigisu nyingi, walioutaka ni PAC lakini tunasikia umeenda kamati nyingine mara PCCB wanaufanyia kazi sasa hao watu Rushwa wanaufanyiaje kazi wakati waliouomba hawajapewa na hawaja toa maoni au maazimio yao.
Mkuu mbona hapo mengi tu LA singasinga jeLugumi ni kipimo cha tatu kigumu kwa Magu
- Cha kwanza ni Home Shopping Center (bado hatujajua nini kinaendelea kwani jamaa wanajipambanua kivingine)
- Ya pili ni sakala la Bandari (bado tunasubiri kama mtu yeyote wa "maana" ataumia)
- Sakata la tatu ni hili la Lugumi/Kitwanga/Mwema (tunaona watu wanabinuka-binuka tu)
Mengine mbwembwe...