wrong turn
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 438
- 170
Msiwe na mchecheto wananchi, serekali yenu ipo imara na itawashulikia wote waliohusika kuazia wamwanzo hadi wamwisho, hili swala tumewaachia wahusika bado wanafanya visibility stady, wakiisha tutatoa taarifa kwa uma.
ile series ya "'story of mafisadi'' kumbe bado inaendelea, siku ikisha hii series na nchi nayo imemalizika, hakuna pombe wala soda, wote ni wale wale tofauti rangi tuu.
ile series ya "'story of mafisadi'' kumbe bado inaendelea, siku ikisha hii series na nchi nayo imemalizika, hakuna pombe wala soda, wote ni wale wale tofauti rangi tuu.