TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.
Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo 👇🏾