Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

Huyu ndiye anastahili heshima ya kuitwa mama na si huyu muuza Tanganyika.
Hongera Mama yetu Stella Mugasha

Kura yàngu ya urahisi nakupa bila mashaka
Yote hii ni kutaka kututoa kwenye reli kuhusu bandari. Tunataka marekebisho kwenye huo mkataba,uwe na manufaa kwa nchi na wananchi.Amen
 
Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Shithole comment! Ulitaka asitoe maoni yake kama Jaji kama ameona kuna kosa limetendeka kutokana na washauri wa rais kupotoka!!?
 
Back
Top Bottom