Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mbona anaona uvunjifu kwenye vyeo na muda wa kustaafishwa Jaji Mkuu?Sawa amepaza sauti kuwa katiba imevunjwa lakini kweli hakuona uvunjaji wa katiba aliokuwa anaufanya mwendazake? Ndiomaana watu wengi wanasema wanaomkosoa rais wengi(sio wote) wanamkosoa kutokana na dini yake,
Mbona Kuna mengi ya kuthibitisha uvunjifu w Katiba?
Bandari? Muungano? Ushiriki wa viongozi wa ccm (wakurugenzi) kwenye chaguzi za NEC?
Uteuzi wa maccm kuwa wakuu wa mikoa, wilaya, majiji, halmashauri bila vetting yoyote?
Anyway nimesoma sehemu ameandika "fitina kwake mwiko"... Nikajiongeza