Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.

Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.

Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo 👇🏾

Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
 
mwanamke shujaa wa mwaka 2023/2023,
 
Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
acha wivu mwanamme, mpe mama maua yake asiseme kama katiaba imevunjwa? she woman of the year
 
Tupeni uhakika kama hiyo Barua kaandika Kwa mikono yake. Hiyo sahihi siyo ya mtu mwenye hadhi ya Jaji.
Kesho isije ikawa labeled ''fake news''
 
Tupeni uhakika kama hiyo Barua kaandika Kwa mikono yake. Hiyo sahihi siyo ya mtu mwenye hadhi ya Jaji.
Kesho isije ikawa labeled ''fake news''
ndio kashasema, uhakika katafute mwenyewe, yeye ana miaka mitatu amalize huduma, mwacheni mama alitumikie taifa, na wengine waendelee kuvunja katiba waliyoapa kutetea, na mwisho kibwagizo cha Mungu nisaidia, utadhani ni mcha Mungu kweli.....
 
Kura yangu anayo aamue leo
 
mie nimeipenda hiyo "Mugasha bib" safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…