Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

soma acha uvivu au tafuta legal puritan wakusaidie sio kila mada lazima udakie zingine ni sheria, in short the spirit and letters of the said provision are straight forwad to time enlargement of the Justice of Appeal and not Chief Justice, however, the chief Justice has two capacities, id est, Justice of Appeal (colleague of Justices) and Chief Justice. the Constitution is clear that no enlargement of time for a Chief Justice but the same can be done for Justice of Appeal, should the president need the service of the Chief Justice should choose one, in the event need Professor Juma as Justice of Appeal can enlarge time for him as a Justice of Appeal and not Chief Justice.


kwa kifupi

usichanganye vipengele vya sheria hizo nukuliwa vinazungumzia jaji wa mahakama kuu, na jaji mkuu, jaji mkuu ameelezwa kwenye ibara ya 118 na majaji wa mahakama kuu wameelezwa kwenye ibara ya 120, kwa hiyo tofauti yao ni nafasi zao. wote ni majaji ya mahakama kuu, lakini katiba imempa mamlaka Rais kuongeza muda kwa majaji wa mahakama ya Rufaa na sio wa jaji mkuu.

ni kavunja katiba full stop,

Kingine the most highest Learned Fellow kanya tafiti, kama unadhani uko sahihi toa andiko sio nukuu wa uwelewa finyu za vifungu vya sheria.
 
NInnamuombea baraka tele huyu mama.
Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume chocheeni moto wa maombi kwa ajili yetu. Acheni kuchochea mkongo na mawazo ya chura
unazungumzia chumba! mbali kote huko! kuanzia shuka na kitanda kimoja na mnara hawauoni!
 

Na kwa nini amuongezee wengine wenye uwezo hawapo?
 
Yaani wewe Mzee wako angetumia condom kupunguza wapumbavu duniani.
 
Jaji Mkuu lazima awe Jaji wa rufaa na kwenye katiba suala la ukomo wa Jaji Mkuu limeongelewa kiujumla kwa majaji rufaa wote
 
Nipe kifungu mkuu
 
hadi leo siamini kama huu waraka aliutoa yeye kweli au umegushiwa. ila kwa sababu mahakama imekaa kimya hadi sasaivi, kuna vitu viwili naviwaza. cha kwanza, stella ni mama wa kitengo, sisi watu wa mahakamani tunajua hilo, hivyo anaweza kuwa ametumwa atibue maji ili kuzima issue ya DP WORLD. pili, inawezekana kuna watu walihisi ni mpinzani wao atachukua kiti au pengine alishawahi kufanyiwa figisu nafasi hiyo badala ya yeye kuchukua akachukua huyo prof, au prof hakumtendea wema fulani akiwa CJ na ana hasira naye n.k, kwasababu alivyoiandika ni kama ana wivu naye kwasababu yeye hajapata na anaongea kwa uchungu. mtanzania gani ana uchungu na katiba hii iliyopo kama sio unafiki?

na kama issue ni kutibua hali ya hewa kwa faida ya kuzima issue ya dp world, aisee mbona imebuma, watu hata hawana muda na hii story.
 
Mkuu tupe hicho kifungu- vinginevyo wewe ni kasuku tu unasema uliyokaririshwa
 
Hii inaonesha kuwa majaji wanaifurahia demokrasia iliyopo nchini.....

Hakika Chifu Hangaya atabaki kuwa alama kuu ya demokrasia Tanzania [emoji2956]


#SiempreJMT[emoji120]
 
Mkuu....

Katiba ni msahafu wa nchi....

Majaji wanaapa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi....

Lipi baya alilolifanya mh.Jaji Mugasha?!!!

Mbona ndani ya waraka wake ameweka bayana kuwa hana CHUKI na jaji mkuu na akaeleza kuwa wamefanya kazi pamoja kwa miaka 13?!!!

Ametueleza kuwa hana maslahi binafsi kwani amebakisha miaka 3 ya utumishi wake katika mahakama ya rufani.....

Kukumbatia "conspiracy theories" ni kama kutomtendea haki na kutoheshimu TAALUMA yake....

#SiempreJMT[emoji120]


#UndieyingSpiritOfTheNation[emoji120]
 
soma status interpretation and rules for interpretation of constitution. pls
Wewe niambie namna ya kwenda mbinguni au nipe mwenyewe nipome nitapata njia. Interpretation is subjective- TO ME IT SOUND NOT GOOD ENOUGH
 
Kuna msemo UNASEMA HIVI" Mchungaji akisema NG'OMBE kafia machungani, ATAKUWA kafa kweli".jaji Mugasha ni mchungaji na katiba ni........
 
Mnyoofu hatakiw kamwee!! Mtu ambae yupo indirect ndie hupendwa!!
Kuna mzee flani tulikuwa tunajadiliana naye maisha katikati ya story akasema "ndg yangu hii dunia usione watu wana dini, hizi ni geresha tu sababu hawafanyi sawa sawa ma maelekezo ya dini, hivyo wapo kwenye dini kujificha waaminiwe"
 
Well said.
 
acha wivu mwanamme, mpe mama maua yake asiseme kama katiaba imevunjwa? she woman of the year
Sawa amepaza sauti kuwa katiba imevunjwa lakini kweli hakuona uvunjaji wa katiba aliokuwa anaufanya mwendazake? Ndiomaana watu wengi wanasema wanaomkosoa rais wengi(sio wote) wanamkosoa kutokana na dini yake,
 
Kipengere namba 21 kuna neno limeandikwa "unri" how come msomi aandike hivyo mubadala wa neno "umri"
 
Duuh. Tuseme yupo sawa. Na dhamiri yake ipo safi!
Lakini kwanini aandike waraka kuhusu vyeo wakati kuna kubwa la bandari na Katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…