Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mbona anaona uvunjifu kwenye vyeo na muda wa kustaafishwa Jaji Mkuu?Sawa amepaza sauti kuwa katiba imevunjwa lakini kweli hakuona uvunjaji wa katiba aliokuwa anaufanya mwendazake? Ndiomaana watu wengi wanasema wanaomkosoa rais wengi(sio wote) wanamkosoa kutokana na dini yake,
Sawa amepaza sauti kuwa katiba imevunjwa lakini kweli hakuona uvunjaji wa katiba aliokuwa anaufanya mwendazake? Ndiomaana watu wengi wanasema wanaomkosoa rais wengi(sio wote) wanamkosoa kutokana na dini yake,
akili za udini ni upuuzi wa kijinga sana ndugu yangu na ufinyu wa mawazo, hebu jiulize, kwani rais samia pale ikulu anatangaza anahubiri uislam? au ni agents wa waislamu, anatetea maslai ya waislam?, kiasi kwamba ukimsokoa Samia unakosoa Uislamu?Sawa amepaza sauti kuwa katiba imevunjwa lakini kweli hakuona uvunjaji wa katiba aliokuwa anaufanya mwendazake? Ndiomaana watu wengi wanasema wanaomkosoa rais wengi(sio wote) wanamkosoa kutokana na dini yake,
Hakika ✔️Kuna mzee flani tulikuwa tunajadiliana naye maisha katikati ya story akasema "ndg yangu hii dunia usione watu wana dini, hizi ni geresha tu sababu hawafanyi sawa sawa ma maelekezo ya dini, hivyo wapo kwenye dini kujificha waaminiwe"
Tunachojiuliza magufuli hajawahi vunja katiba? Huyu mama alikuwa wapi kumstua kuwa hapa umevunja katiba?akili za udini ni upuuzi wa kijinga sana ndugu yangu na ufinyu wa mawazo, hebu jiulize, kwani rais samia pale ikulu anatangaza anahubiri uislam? au ni agents wa waislamu, anatetea maslai ya waislam?, kiasi kwamba ukimsokoa Samia unakosoa Uislamu?
acha mada mada zisizo za akili, hoja ni kavunja katiba au hajavunja, kwa hiyo kama magu alitenda makosa na Samia atende makosa hayo hayo? yeye ni rais wa wote walio wa dini yake na wasio na dini yake, na pengine alipaswa kujiepusha kabisa na dhana na chembe chembe za udini hasa wa dini yake, na kama hayo ndio mawazo yako na mtazamo wa walio udini kama wewe, basi Samia ana agenda za siri za kidini dhidi ya watu wasio wa dini yake, ndio maana mnakimbilia udini, basi yeye ndio mdini namba moja kama uo ndio tafsiri yako wewe.
kwa Hiyo watanzania wasimkosoe rais kisa mwislamu, wakimkosoa tunakosoa uislam, na zaidi ukiwa mkristo ndio umekosoa uislam. ni ujinga sana rais ni wa wote na anakosolewa kwa makosa anayotenda.
remember he who excuses himself, accuses himself
Nimesikitika sana sana yaani.Kipengere namba 21 kuna neno limeandikwa "unri" how come msomi aandike hivyo mubadala wa neno "umri"
Replies ni nyingi ila kuna mdau flani humu aliandika yawezekana ni kitengo, katumwa kuja kupunguza issue ya bandari au ana chuki na Jaji mwenzake sababu hiyo nafasi ilikuwa yake, nk.Duuh. Tuseme yupo sawa. Na dhamiri yake ipo safi!
Lakini kwanini aandike waraka kuhusu vyeo wakati kuna kubwa la bandari na Katiba?
Issue ni constitution inasemaje, hizo zingine ni porojo Toka Kwa takatakaReplies ni nyingi ila kuna mdau flani humu aliandika yawezekana ni kitengo, katumwa kuja kupunguza issue ya bandari au ana chuki na Jaji mwenzake sababu hiyo nafasi ilikuwa yake, nk.
Kila jambo na wakatiTunachojiuliza magufuli hajawahi vunja katiba? Huyu mama alikuwa wapi kumstua kuwa hapa umevunja katiba?
Sema rafiki, Dar uko wapi nikutafute tuzoze kidogoYamekuwa hayo tena hapo Ufipa st?
Niko Unguja nakula Sikukuu 🤣🤣Sema rafiki, Dar uko wapi nikutafute tuzoze kidogo
Maua yake tumempa, ila mbona hili ni dogo tuu!. Mbona kuna makubwa zaidi ya uvunjifu wa katiba Wazalendo kama hawa wako kimya?.Huyu mama Jaji wa mahakama ya rufani Stella E.A. Mugasha anastaili kupongezwa. Mama amepinga uvunjwaji wa katiba ya nchi kwa kumuongezea jaji mkuu muda wa kukaa madarakani kinyume na matakwa ya katiba. Mama ametaka mamlaka ya uteuzi (Rais) kuheshimu katiba ya nchi. Mungu ambariki
Unaogopa Nini? Wakati najua uko Buza Kwa MpalangeNiko Unguja nakula Sikukuu [emoji1787][emoji1787]