R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jun 29, 2023 #221 Blood of Jesus said: Niambieni ni nani huyu mama Nijuzeni nielewe Jesus is Lord Click to expand... Jaji wa Mahakama ya Rufaa, mbobezi wa kuhukumu muda mrefu
Blood of Jesus said: Niambieni ni nani huyu mama Nijuzeni nielewe Jesus is Lord Click to expand... Jaji wa Mahakama ya Rufaa, mbobezi wa kuhukumu muda mrefu
I Isalu JF-Expert Member Joined Nov 3, 2022 Posts 504 Reaction score 665 Jun 29, 2023 #222 Retired said: Huyu ndiye anastahili heshima ya kuitwa mama na si huyu muuza Tanganyika. Hongera Mama yetu Stella Mugasha Kura yàngu ya urahisi nakupa bila mashaka Click to expand... Yote hii ni kutaka kututoa kwenye reli kuhusu bandari. Tunataka marekebisho kwenye huo mkataba,uwe na manufaa kwa nchi na wananchi.Amen
Retired said: Huyu ndiye anastahili heshima ya kuitwa mama na si huyu muuza Tanganyika. Hongera Mama yetu Stella Mugasha Kura yàngu ya urahisi nakupa bila mashaka Click to expand... Yote hii ni kutaka kututoa kwenye reli kuhusu bandari. Tunataka marekebisho kwenye huo mkataba,uwe na manufaa kwa nchi na wananchi.Amen
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Jun 29, 2023 #223 Mugasha JA ni kiboko
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jun 29, 2023 #224 Isalu said: Yote hii ni kutaka kututoa kwenye reli kuhusu bandari. Tunataka marekebisho kwenye huo mkataba,uwe na manufaa kwa nchi na wananchi.Amen Click to expand... Tutakwenda nayo yote sambamba
Isalu said: Yote hii ni kutaka kututoa kwenye reli kuhusu bandari. Tunataka marekebisho kwenye huo mkataba,uwe na manufaa kwa nchi na wananchi.Amen Click to expand... Tutakwenda nayo yote sambamba
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jun 29, 2023 #225 Ahaaa
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Jun 29, 2023 #226 Retired said: Jaji wa Mahakama ya Rufaa, mbobezi wa kuhukumu muda mrefu Click to expand... Sasa ndio kafanyeje, nini sababu za ku trend sasa
Retired said: Jaji wa Mahakama ya Rufaa, mbobezi wa kuhukumu muda mrefu Click to expand... Sasa ndio kafanyeje, nini sababu za ku trend sasa
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Jun 29, 2023 #227 Covax said: Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia Click to expand... Shithole comment! Ulitaka asitoe maoni yake kama Jaji kama ameona kuna kosa limetendeka kutokana na washauri wa rais kupotoka!!?
Covax said: Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia Click to expand... Shithole comment! Ulitaka asitoe maoni yake kama Jaji kama ameona kuna kosa limetendeka kutokana na washauri wa rais kupotoka!!?