Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

Huyu ni mzalendo wa kweli na ndio maana hapewi ulaji yeye na familia yake kama walivyo wenzake akina Jakaya na Pinda.

Wakati fulani ukweli ni bora zaidi kuliko pesa.
Kwa sasa siwaamini wale wanao sifia wenye mawazo mbadala hats kama wapo kwenye mfumo uleule yawezekana wanafanya hivyo hulu wakiuma meno.
 
Na ya 4 ni nini? Mbona umekurupuka, ulikuwa unakimbilia kunya nini?
 
Leo mkuu umeandika,so baraka zote zilizopoea KWA mda zirudi ndani ya siku 14 na ukiendelea hivi ziludi zaidi,maana taharifa zako za mzee mgaya zilisha tuchosha ,ongera KWA hili
 
Jamani huyu mzee mwambieni atulie.
Atasitishiwa kiimua mgongo .
 
Hizi akili za bashite...

Unakosoa maoni ya mtu ili iweje? Toa maoni yako watu wapime na kuyatathimin.

Huyo mzee yupo sahihi kwa mawazo yake
Mkuu wewe ndio sifuri kwani kila mtu lazima akubaliane na mawazo yako,. Usilazimishe kila mtu awaze kama unavyowaza,. wewe kama unaona yuko sawa nimawazo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wakati hayo yanafanyika alikuwa kimya?... Au alikuwa anasubiri aulizwe?
Tatizo lako lipo upande upi, kama anasema ukweli haijalishi amesema wakati gani....wa kulaumiwa ni wale waliamua kukaa kimya milele.
 
Anawashwawashwa.....
 
Huyu ni mzalendo wa kweli na ndio maana hapewi ulaji yeye na familia yake kama walivyo wenzake akina Jakaya na Pinda.

Wakati fulani ukweli ni bora zaidi kuliko pesa.
Bora ufe umesimama kuliko kuishi umepiga magoti kama vibaraka wengi wa Zanzimana wanavyoishi awamu hii kiunafiki kwelikweli .
 
ndugu yangu hiyo jamaa ni muongo Sana na anaonekana ni wale mataga wa ccm. waryoba Hukusema kuwa waachane na itikadi sababu itikadi ndio muelekeo wa Chama, na watu wanajiunga ktk vyama mbalimbali sababu ya itikadi zao, sasa unaposema viachane na itikadi, utambulisho wake utakua wapi?
huyo anajitahidi kubadilisha ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli kuhusu alichosema waryoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…