Tukusaidiaje?View attachment 3446259
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
View: https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
Mkuu, hao watu ni hovyo sana. They are just fighting for their stomachs and their children's. Maslahi ya taifa kwao si kipaumbele hata kidogo...Samia Suluhu ameingia madarakani mwaka 2021.
..hivi ni kweli hakukuwa na muda wa kurekebisha sheria na mifumo ya uchaguzi?
Wamechaguwa kushindwa .(Tundu & Heche) wamepewa madaraka tarehe 21/ 01/2025. Ndani ya miezi 4 yafuatayo yametokea:-
1. Mwenyekiti Tundu amepanga uasi ili kuzuia uchaguzi wa kikatiba wa Oktoba
2. Mwenyekiti Tundu ameshtakiwa kwa kosa la uhaini na yuko rumande Ukonga
3. MAKAMU wake Heche amefukuza viongozi wa CDM kama 55 kisa hawaungi mkono kususia uchaguzi
4. Makamu Heche amekataa kusaini kanuni za maadili za INEC. Hivyo chama kiko nje ya uchaguzi automatically
5. Msajili kasimamisha shughuli za CDM kwa sababu kuna kesi ya kugombea mali za CHADEMA
Siyo kweli Warioba hakusema hivyo tena Yeye na Butiku wamejaribu sana kuwasii ccm na mwenyekiti wao pamoja na msimamizi wa uchaguzi juu ya chadema kusikilizwa ili waingie kwenye uchaguzi, lakini walitolewa nje.View attachment 3446259
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
View: https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
Siasa ni sayansi,hahahaaa!(Tundu & Heche) wamepewa madaraka tarehe 21/ 01/2025. Ndani ya miezi 4 yafuatayo yametokea:-
1. Mwenyekiti Tundu amepanga uasi ili kuzuia uchaguzi wa kikatiba wa Oktoba
2. Mwenyekiti Tundu ameshtakiwa kwa kosa la uhaini na yuko rumande Ukonga
3. MAKAMU wake Heche amefukuza viongozi wa CDM kama 55 kisa hawaungi mkono kususia uchaguzi
4. Makamu Heche amekataa kusaini kanuni za maadili za INEC. Hivyo chama kiko nje ya uchaguzi automatically
5. Msajili kasimamisha shughuli za CDM kwa sababu kuna kesi ya kugombea mali za CHADEMA
View attachment 3446259
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
View: https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
(Tundu & Heche) wamepewa madaraka tarehe 21/ 01/2025. Ndani ya miezi 4 yafuatayo yametokea:-
1. Mwenyekiti Tundu amepanga uasi ili kuzuia uchaguzi wa kikatiba wa Oktoba
2. Mwenyekiti Tundu ameshtakiwa kwa kosa la uhaini na yuko rumande Ukonga
3. MAKAMU wake Heche amefukuza viongozi wa CDM kama 55 kisa hawaungi mkono kususia uchaguzi
4. Makamu Heche amekataa kusaini kanuni za maadili za INEC. Hivyo chama kiko nje ya uchaguzi automatically
5. Msajili kasimamisha shughuli za CDM kwa sababu kuna kesi ya kugombea mali za CHADEMA
Ndani ya miaka minne ya uongozi wa Samia yafuatayo yametokea(Tundu & Heche) wamepewa madaraka tarehe 21/ 01/2025. Ndani ya miezi 4 yafuatayo yametokea:-
1. Mwenyekiti Tundu amepanga uasi ili kuzuia uchaguzi wa kikatiba wa Oktoba
2. Mwenyekiti Tundu ameshtakiwa kwa kosa la uhaini na yuko rumande Ukonga
3. MAKAMU wake Heche amefukuza viongozi wa CDM kama 55 kisa hawaungi mkono kususia uchaguzi
4. Makamu Heche amekataa kusaini kanuni za maadili za INEC. Hivyo chama kiko nje ya uchaguzi automatically
5. Msajili kasimamisha shughuli za CDM kwa sababu kuna kesi ya kugombea mali za CHADEMA
Kwahiyo? Huihui na wenzako akina nzwilo, ulasi na potea mnatakajeView attachment 3446259
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
View: https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
Yuko katikati. Anaunga mkono mabadiliko lakini hakubaliani kiahirisha uchaguzi kama Tundu alivyo taka. Na huo sasa ndiyo utu uzima wenye busaraHuihui2 tukusaidieje sasa?
Ilionywa sawa, aliyewaonya anawaunga mkono kina nani mpaka muda huu..?
Je, anaunga mkono wahuni au wazalendo wa nchi hii..?
Yaani unasubiri mwizi aingie ndani ndiyo uchukue hatua? Wakati unaweza ukamdhibiti kabla hakaingia?Sasa kuzuia uchaguzi ni uhaini?.
Wangesubiri wakaona angeuzuiaje!
Huenda angeenda mahakamani na kujenga hoja nzito kuuzuia!