Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

Lissu ana akili nyingi, aliulizwa utazuiaje uchaguzi akadai muda ukifika mtaona. Mpaka Sasa hivi hakuna anayejua angezuiaje.
Ni Serikali gani duniani itakuachia uzuie uchaguzi?? Alidhani watamchekea??
 
Siyo kweli Warioba hakusema hivyo tena Yeye na Butiku wamejaribu sana kuwasii ccm na mwenyekiti wao pamoja na msimamizi wa uchaguzi juu ya chadema kusikilizwa ili waingie kwenye uchaguzi, lakini walitolewa nje.
Je hoja ya kuahirisha uchaguzi umeisikia au?
 
View attachment 3446259
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi

View: https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q

Sawa lakini pia amewaonya CCM mara nyingi hawamsikilizi pia.

Kwa hili nawaunga mkono Chadema. Hata wadpofanikiwa 100 % walau watafanikiwa 60 %. Naamini labisa turn out itakuwa ji ndogo sana. CCM wameshaliona hilo ndiyo sababu wameanza kumunipulate idadi ya wapiga kura.
 
View attachment 3446259
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi

View: https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q

Mi naona wanapoteza muda tu, maneno yao hayatabadilisha lolote. Wangekaa ty pamoja na Gwajima waseme yote wanazohisi ni siri zooote kubwa wanazojua halafu waone kama kama uchaguzi utaahirishwa. Wamebakia kama Mange Kimambi tu, masadist😂😂
 
Ndani ya miaka minne ya uongozi wa Samia yafuatayo yametokea
1. Kuongezeka kwa kasi kubwa sana utekaji na kupotezwa kwa watu
2. Rais kusapoti mauaji ya raia wake kama allykibao kwa Kusema kifo ni kifo tu
3. Kuwazuia waumini haki yao ya kikatiba ya kumuabudu Mungu
4. Kujipitisha kinyemela kua mgombea Urais, hivyo mpaka sasa huyo ni mgombea haramu
5. Kuuza Rasilimali za watanganyika ikiwemo bandari, misitu, viwanja vya ndege nk
6. Kuruhusu ufisadi mkubwa sana kwa muwaambia wale kwa urefu wa kamba yao
7. Kuwambikia wapinzani kesi za mchongo
8. Kubwa kuliko yote, Samia anamuogopa Lisu kuliko Israel mtoa roho
9. Ongezea na mengine
Nikujibu aya 8 kwani ni nani kaweka mpira kwapani kugomea Uchaguzi !!

Ni CCM au ni Chadema???

Punguza uwongo hii ni JamiiForums

au kumuogopa wewe umemaanisha nini Lisu Si kamtu kamtu tu Rais Samia Suluhu Hassan kamftata uko uko Ubelgiji na kumwambia njoo nyumbani sasa kumuogopa kumetokea wapi kwenye akili yako!!!!

LISU ndio muoga kamwogopa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Uchaguzi huu wa 2025.

Baada Lisu kugalagazwa 2020 vibaya sana na Rip JPM

Bora Dk Slaa kidogo alisumbua sio uyoo Domodomo kubwa tu.!!

Huu mwaka atamaliza akiwa na ruti za kolokoloni to Mahakamani na fuko lake la Vitabu🎒 Mpaka aseme pesa zipi alikuwa anamdai Mama Abdul sio kodi zetu Watanzania..
kamkopesha lini !! Mkombozi mwenye Kitambi 😅😅😅
 
Samia anamuogopa Lisu na Chadema, ndo maana anatumia polisi, mahakama na msajili kuikandamiza. Aweke fair ground ya competition tuone Samia kama atafikisha hata asilimia 20 ya kura, hata CCM wenyewe hawatampigia
 
Kwani Samia ndiyo alimtuma aseme kuwa ataanzisha UASI?
 
Back
Top Bottom