Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

Rais Samia Hassan - Wakuu wa Vyombo vya Usalama Mpo Hapa, lakini Mifumo ya .....


View: https://m.youtube.com/watch?v=x3KVwydUM88
Rais Dr. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba 2024 ...


Picha : Wakuu wa Vyombo vya Usalama
 
Mzee anazeeka na akili yake smart kabisa hakika mungu fundi wengine wanamiaka 45:60 lakini wakiongea ni kama darasa la vii
 
Huyu kamanda wa police angepewa gwanda la jw halafu huyo wa TPDF angepewa soft lethar ya police namana police kaiva kweli kweli kimuonekano
 
Huyu mzee japo amechelewa Mwenyezi Mungu amlinde na kumpa mwisho Mwema.
 
Ukisikia wazee ni hazina usipate tabu kuelewa. Msikilize mzee Warioba. Wazee kama hawa utakuta wale vijana machawa na makuwadi wa wanasiasa wanawatukana mitandaoni.
 
Ukisikia wazee ni hazina usipate tabu kuelewa. Msikilize mzee Warioba. Wazee kama hawa utakuta wale vijana machawa na makuwadi wa wanasiasa wanawatukana mitandaoni.
Kuna wazee wengine ni tumbo tu ndio lina umri mkubwa kla kichwani hamna kitu.
 
Unaweza ukafikiri jaji warioba no mpinzani yaani chadema Kwa hotuba hii aliyoitoa !!

CCM yeti ya Sasa imeshindwa kutengeneza watu professional wenye uwezo wa kuitetea kweli na haki ya kisheria zaidi ya chawa waliotengenezwa hakuna wenye maono kabisa!!!

NIAMINI HOTUBA HII NI UJUMBE WA DOLA ISIYOONEKANA IFANYAYO KAZI KUPITIA MNF!

NIAMINI NEXT STAGE YA DOLA INAENDELEA KUTEKELEZWA KWA STYLE YA KIPEKEE!!
 
..tatizo la Mzee Warioba ni kuona kwamba 2019/2020 kulikuwa na " dosari za uchaguzi ", badala ya dhuluma na na uporaji. Na bado Mzee Warioba anazungumza kwa lugha laini ambayo haifikishi ujumbe kwa wahusika kwamba wanayofanya yanaiumiza nchi.
 
Lukas Mwashambwa kasikia hayo?!!
 
Kumbe Tiss ina jeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…