Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

JAJI WARIOBA AZUNGUMZA KUHUSU KUELEKEA UCHAGUZI 2024 / 2025 , HALI YA KISIASA, MFUMO WA HAKI JINAI, KUWEPO MAJESHI MENGI, 4R ...
Siamini kuwa ni Jaji Warioba huyo huyo aliye bandika hiyo picha ya kichwa kwenye hiyo video.

Sasa nashindwa kuelewa hiyo picha ina mchango gani katika mada hii?
 
Utawala bora yaani mfumo wazi unaoeleweka wa haki na mifumo ya usalama ndiyo huzaa demokrasia, bila utawala bora wa kujua nani anafanya nini, mamlaka yake ni yepi na anawajibika kwa nani basi demokrasia inakuwa haipo ...
Yaani nchi nzima hii, kabaki mzee mmoja tu anaye sumbuliwa na hali mbovu kabisa tuliyo nayo kisiasa nchini?

Wengine wote wako wapi,... akina Mwandosya (hivi bado yu hai?)

Na zile NGOs; hivi wao kazi zao ni zipi hasa; kama siyo kuwaelimisha wananchi kuhusu HAKI zao?

Na hivi vyama vya siasa je? Wao wataanza lini kuwafikia wananchi na angalau kuwaeleza tu sifa zao za kuwa mpiga kura ni zipi, na kuwahimiza wajiandae sasa hivi!

Mbona CCM tayari wanafanya huko huko mitaani na vijijini?
 
Kwa jinsi mzee warioba alivyoelezea kutaka kujiuzulu cheo cha waziri wa Sheria wakati wa awamu ya kwanza Kwasababu ya kupinga kuvunjwa sheria ni kielelezo kuwa alikuwa mwadilifu tangu zamani .
Namfananisha na profesa mohamed yunus wa Bangladeshi.
 
Huyu ndiye mzee mwenye Heshima.

Tumpe Hadhi ya Baba wa Taifa.
 
Wazee wengine wakisema Watoto wao watakosa Teuzi. Si unajua wamesomea BA, International Relation, diplomasia na law? Bila teuzi hawatoboi.
 
Kama vile mxemaji wa xerikali!! Au chawa mwandamizi... dah!
 
Kama vile mxemaji wa xerikali!! Au chawa mwandamizi... dah!
sio kama vile msemaji,

huo ni ndio ukweli na huo ndio uhalisia..

wanainchi kila eneo, kila mahali ambako zoezi hili tayari limekamilika, wanakusanywa kulingana na utaratibu wa eneo hilo wa mikutano, wanaelimishwa na watendaji wa vijiji, mitaa na kata, kabla ya zoezi zima kuanza, lakini pia elimu endelevu inatolewa kadiri inavyoonekana inafaa...

sasa Mzee warioba sijui anatafuta sifa au anaizungumzia dar es salaam ambako zoezi bado halijaanza but elimu inatolewa vizuri sana juu ya mazoezi hayo yote mawili tofauti πŸ’
 
CCM wakifanya inatosha gentleman kwasabb wanafanya kwa wananchi wote πŸ’
 
CCM wakifanya inatosha gentleman kwasabb wanafanya kwa wananchi wote πŸ’
Wewe nilisha malizana nawe kitambo, baada ya thamani ya michango yako humu kupotea, na hasa baada ya kujua uhusika wako katika maovu mnayo wafanyia waTanzania.
 
Wewe nilisha malizana nawe kitambo, baada ya thamani ya michango yako humu kupotea, na hasa baada ya kujua uhusika wako katika maovu mnayo wafanyia waTanzania.
nimefurahi sana umeacha kuporomosha matusi mazito mazito siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…