ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua waliootoka na walipo awamu ya 6.
Rais kama Samia Huwa hawapatikani Kila mahala na Kila mda.
----
RAIS SAMIA ARIDHIA JENGO LA MAABARA JUMUISHI SUA LIITWE KWA JINA LAKE
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.