Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Sioni kama ni vibaya kuita vitu vizuri kwa majina ya viongozi wa nchi au waasisi wa nchi yetu au watu maarufu au watu waliofanya kitu muhimu kwenye jamii kwani ni njia nyingine ya kutunza historia za watu mashuhuri nchini kuliko kuendelea na majina ya kikoloni
Mfano, leo hii vijana wengi hawajui historia ya Edward Moringe Sokoine lakini angalau kwa wanaobahatika kusoma au kupita chuo kikuu cha SUA angalau watajishughulisha kutaka kujua SOKOINE alikuwa nani?
Kuita vitu kwa majina ya viongozi ni namna ya kutunza historia ya watu hao
Sent using Jamii Forums mobile app