In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua waliootoka na walipo awamu ya 6.
Rais kama Samia Huwa hawapatikani Kila mahala na Kila mda.
----
RAIS SAMIA ARIDHIA JENGO LA MAABARA JUMUISHI SUA LIITWE KWA JINA LAKE
Your browser is not able to display this video.
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.

Warioba atatue migogoro ya ardhi kati ya SUA na wananchi, naona anakuja kwenye vikao vya posho tu, haulizii mambo ya ujirani mwema, na hafanyi vikao au mikutano na majirani. Wananchi jirani wana malalamiko mengi dhidi ya SUA
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
Itachukua muda mwingi sana kumpata Rais kama Samia. Ameipitisha nchi kwenye nyakati ngumu sana na kila kitu kinaenda tena bila watu kuumizwa. Hongera zake.