Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hapo unakuta amepigwa milioni 20 posho na makamu mkuu wa chuo, pia muda wa yeye kuwa Mkuu wa chuo unaishia ishia hivyo lazima ajikombeMbona Warioba huwa an critisize sana baadhi ya mambo ya Samia au leo alipangiwa cha kusema
🤣Hapo unakuta amepigwa milioni 20 posho na makamu mkuu wa chuo, pia muda wa yeye kuwa Mkuu wa chuo unaishia ishia hivyo lazima ajikombe
Nchi ya kishamba hii. Kila kitu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia.My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Rais kama Samia Huwa hawapatikani Kila mahala na Kila mda.
----
RAIS SAMIA ARIDHIA JENGO LA MAABARA JUMUISHI SUA LIITWE KWA JINA LAKE
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
PoleHapo unakuta amepigwa milioni 20 posho na makamu mkuu wa chuo, pia muda wa yeye kuwa Mkuu wa chuo unaishia ishia hivyo lazima ajikombe
jambo la kushangaza sana. kila kitu hayo matawala as if kila kitu kuhusu tz ni wao.Nchi ya kishamba hii. Kila kitu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia.
Kama nchi pia tujifunze kuwa majina ya vitu wakati mwingine ni utalii tosha.
Unaumia sana pole 😄😄😄😄😄Hii nchi wasomi ni wajinga sana kuliko wasiosoma asee
Kwani unapoitwa Nyerere alijenga yeye?Sio jambo baya kufanya hivyo! ila tukumbuke kuwa hilo jengo hajajenga Samia. Na ni jengo la Watanzania sio Samia. Ipo siku mtapeleka mswada bungeni Kuomba Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere uitwe Samia.
Mchango wa Nyerere unaulinganisha na Samia?! Serious kabsa?! Nyerere na Samia?!Kwani unapitwa Nyerere alijenga yeye?
Maua yako MkuuMwalimu Nyerere alisema ukipewa ushauri wa kijinga na wewe ukaukubali basi ujue aliyekupa huo ushauri amekuona wewe ni mbumbumbu kuliko mbumbumbu wote.
Kila Kiongozi ana mchango Kwa nafasi yake na awamu yake.Mchango wa Nyerere unaulinganisha na Samia?! Serious kabsa?! Nyerere na Samia?!
Sizitaki mbichi hizi baada ya kukosa 😆😆Mwalimu Nyerere alisema ukipewa ushauri wa kijinga na wewe ukaukubali basi ujue aliyekupa huo ushauri amekuona wewe ni mbumbumbu kuliko mbumbumbu wote.
Moja ya falsafa za Jaji Warioba ambazo sikubaliani nazo, licha ya kumkubaki sana kwenye mengi, ni heshima yake kubwa sana kwa rais.
Mimi napenda lugha yake ya staha. Mama hanaga ubabe usio na maana. anajua ku value watu. Tatizo ni watanzania wengi ni waongo, wasanii na watu wasio waaminifu.Itachukua muda mwingi sana kumpata Rais kama Samia. Ameipitisha nchi kwenye nyakati ngumu sana na kila kitu kinaenda tena bila watu kuumizwa. Hongera zake.
Tanzania jina libadilishwemzee anajieleza vizuri sana,
hongera Dr.Samia Suluhu Hassan