Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua waliootoka na walipo awamu ya 6.
Rais kama Samia Huwa hawapatikani Kila mahala na Kila mda.
View attachment 3062963
----
RAIS SAMIA ARIDHIA JENGO LA MAABARA JUMUISHI SUA LIITWE KWA JINA LAKE
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
jieleze vizuriTanzania jina libadilishwe
Nchi iitwe sa100 au unaonaje
Ova
Ndiyo hivyo babu ameona ajikombe hakuna namnaπ€£
Tena Samia huyu huyu! bora hata ya Dikteta MaguMchango wa Nyerere unaulinganisha na Samia?! Serious kabsa?! Nyerere na Samia?!
Na ukiangalia hakuna cha maana anafanya zaidi ya ufisadi wa mali za ummaSio jambo baya kufanya hivyo! ila tukumbuke kuwa hilo jengo hajajenga Samia. Na ni jengo la Watanzania sio Samia. Ipo siku mtapeleka mswada bungeni Kuomba Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere uitwe Samia.
Mimi naamini kabisa wewe ni tutusa ulietukuka wakenya wanapowaita watanzania ni maiti sio kwamba wanakosea...hivi kuna raisi ambae amewahi kutawala halafu asitoe mchango wowote kwenye sekta ya kilimo?My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua waliootoka na walipo awamu ya 6.
Rais kama Samia Huwa hawapatikani Kila mahala na Kila mda.
View attachment 3062963
----
RAIS SAMIA ARIDHIA JENGO LA MAABARA JUMUISHI SUA LIITWE KWA JINA LAKE
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
Mojawapo ni Magufuli,eleza mchangi wake kabla ya kumwaga povu za ujinga wakoMimi naamini kabisa wewe ni tutusa ulietukuka wakenya wanapowaita watanzania ni maiti sio kwamba wanakosea...hivi kuna raisi ambae amewahi kutawala halafu asitoe mchango wowote kwenye sekta ya kilimo?
Kwani mchango wa samia kwenye kilimo ni upi?Mojawapo ni Magufuli,eleza mchangi wake kabla ya kumwaga povu za ujinga wako
Na nchi waibadilishe jina iitwe Samia ili wapate usingizi.Nchi ya kishamba hii. Kila kitu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia.
Kama nchi pia tujifunze kuwa majina ya vitu wakati mwingine ni utalii tosha.
-Bajeti Kilimo kutoka Bilioni 230 Hadi 1.2TKwani mchango wa samia kwenye kilimo ni upi?
Umewahi kulima?-Bajeti Kilimo kutoka Bilioni 230 Hadi 1.2T
-Kununua mazao ya Wakulima kutoka Tani 300k had Tani 1.1Mln
-Kuongeza uzalishaji wa Tumbaku,namba 2 Afrika
-Kuanzisha Mnada wa Chai Dar badala ya Mombasa Kenya
-Kutoa ruzuku ya mbolea na mbegu
-Kuongeza Kilimo Cha Umwagiliaji kutoaj hekta 700k Toka uhuru Hadi hectare 500k ziko kwe ujenzi
-BBT Kilimo na Ufugaji
-Kuongeza Bajeti ya Utafiti wa Kilimo,
-Kufufua mashamba ya Mbegu za Serikali ya Assa, Nchi inajitosheleza.kwa.mbegu Kwa 50% kutoka Kuagiza Nje ya Nchi
-Kuajiri Wahandishi wa Kilimo na maagisa ugani,kuwapa vitendea kazi kama magari,pipiki na vipima udongo
-Kushusha riba za kukopa kwenye mabenki Hadi 9%
Kiufupi mafanikio ni mengi , mengine haya hapa ππ
View: https://twitter.com/shambamedia/status/1819025800651231380?t=cArsOEyKaRuQKZEVu7AF8Q&s=19
Hakuna Rais anaeweza mfikia Samia kwa lolote na sekta yeyote ππ
View: https://twitter.com/shambamedia/status/1819001482559074320?t=A3v_8CSn6N8Km0AYCGLBDw&s=19
Hakupangiwa ila ni akili kubwa, anayependa sifa akitinga kwenye anga zako mbandikie sifa.Mbona Warioba huwa an critisize sana baadhi ya mambo ya Samia au leo alipangiwa cha kusema
Wewe pia ni mshamba.My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua waliootoka na walipo awamu ya 6.
Rais kama Samia Huwa hawapatikani Kila mahala na Kila mda.
View attachment 3062963
----
RAIS SAMIA ARIDHIA JENGO LA MAABARA JUMUISHI SUA LIITWE KWA JINA LAKE
"Hili jengo liitwe Samia lakini na mimi niwaombe hilo jengo linalomalizika liitwe Chibunda (Prof. Raphael Chibunda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo- SUA) amefanya kazi nzuri sana hapa ndani"- Rais Samia.
Rais Samia ameyasema hayo baada ya kuzindua jengo la Maabara Jumuishi la Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Manispaa na wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro siku ya Jumanne Agosti 06, 2024.
Nani na nani nawachonganisha?Wewe pia ni mshamba.
Unachonganisha watu.
Wewe jinga kweli,unaniuliza swali.la kipuuzi zkanusha kama hayo hayajafanyika ndio uulizeUmewahi kulima?