Jaji Warioba aomba jengo la Maabara Jumuishi SUA kuitwa Samia, Rais Samia aridhia

Wewe jinga kweli,unaniuliza swali.la kipuuzi zkanusha kama hayo hayajafanyika ndio uulize
Wewe ni mpumbavu sana niimekuuliza hivyo kwasababu hata binti yangu kakuzidi akili na ufahamu...mimi ni mkulima nalima mazao ya biashara hasa korosho,mbaazi,ufuta nk...tukija upande wa zao kuu la korosho hakuna mkulima mwenye hamu na hizi pembejeo wanazoita za ruzuku zinazotengenezwa na wahuni wakina MO ambazo hazina ubora kabisa...Kila mkulima anadai ni bora pembejeo tungenunua tu wenyewe kama miaka yote hii ni kutokana na tangu samia aingie madarakani korosho zinashuka bei kila mwaka ...mfano msimu uliopita mimi binafsi nimelipwa shiling 915 kwa kilo jambo ambalo ndani ya miaka 15 sijawahi kuona
 
Wewe una akili finyu kama kuku.Kwani pembejeo Nchi hii ni za korosho tuu? Kila mtu anapanda korosho?

Tukirudi huko kwenye korosho zako,ka mumepewa pembejeo fake inakuaje uzalishaji wa pembejeo uongezeke? Pia kwani umekatazwa kununua mwenyewe Hadi ukomae na hizo unazoita za Mo?

Achaga ujinga wa kudhani Kila mtu analima korosho,Kwanza korosho ni zilipendwa hata msipolima kabisa Hakuna hasara Nchi itapata 👇👇
 
Ndio maana Kepteni John Komba aliomba,"...Na wavimbe wapasuke,
Wacha waisome nambaee,
CCM mbele kwa mbele...!"
 
Kizee kinazeeka vibaya sasa,Hivi Samia vitu vingapi vitaitwa Jina lake? Nayeye haoni aibu.
 
KWA KUWA JULIUS KAMBARAGE NYERERE RAIS WA KWANZA MWANAUME AMEITWA BABA WA TAIFA,BASI MADAM PREZOO SAMIA SIYO MBAYA NA YEYE KWA KUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUWA RAIS TANZANIA AITWE MAMA WA TAIFA.
 
Ndio maana nikakuambia wewe binti yangu anakuzidi akili ni wapi nimedai kuwa nchi yote zao ni korosho tu? Nionyeshe mchango wa serikali kwenye zao la mahindi,mpunga na ufuta
 
Ndio maana nikakuambia wewe binti yangu anakuzidi akili ni wapi nimedai kuwa nchi yote zao ni korosho tu? Nionyeshe mchango wa serikali kwenye zao la mahindi,mpunga na ufuta
Huna hoja na akili ,mada haikuwa korosho Bali mazao Kwa ujumla
 
Na Mimi nimekutajia ,Kwa nini unalazimisha Korosho tuu?
Hebu nikuambie kitu dogo mimi ni mkulima wa mazao tofautitofauti yakiwemo hayo uliyoyataja wewe ...nayalima kwahiyo najua kila kitu kuhusu uandaaji na changamoto anazokabiliana na mkulima tangu nchi ipate uhuru
 
KWA KUWA JULIUS KAMBARAGE NYERERE RAIS WA KWANZA MWANAUME AMEITWA BABA WA TAIFA,BASI MADAM PREZOO SAMIA SIYO MBAYA NA YEYE KWA KUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUWA RAIS TANZANIA AITWE MAMA WA TAIFA.
Kwanini usiitwe wewe mama wa taifa?
 
Nimekamilisha ujenzi wa choo cha nje hapa nyumbani kwangu, sijui na mimi nikiite jina la kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…