Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Umeshindwa kujadili hoja wayoba unajikita kumlazimisha awe na experience yako!!
Umesahau wakati wa mwinyi alvosumbuana na wahindi?!??
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshimike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Jingalao hawezi kuwa na akili timamu. Mwenyezi mungu akuchukue wewe upumzike
 
Duuu sema Kwa kua ww ndo jinga lao kama jina lako hata Haina haja ya kubishabna na "jinga lao" Kwa iyo hamtak kusema? Naomba askae kmya na hakuna wa kumfunga mdomo kipind kile mlimtuma kijana wa yuvisisiemu akampiga huyu mzee mateke na mkampandisha kijana akapata cheo kikubwa sana nchi hii... Sasa kama mnataka kumpiga mpigen Tena maana naona amepiga kweny mshono na mmeshndwa kujibu hoja kuntu za mzee
 
Mzee Warioba aliheshimika kwa Watanzania na bado Anaheshimika na Ataendelea kuheshimika zaidi kutokana na misimamo yake ilivyo mpaka sasa !

Au nasema uongo ndugu zanguni !!! 🙏🙏
Ndiyoo ivyo na tutamheshmu sana hao yuvisisiemu wasipo mheshimu bas maana waliwahi mpiga mateke sana huyu mzee ,na Hawa vijana nadhan wajitafakar kabla mzee hajaondoka Duniani waombe msamaha kama yuvisisiemu asje akafa akawaachia laana walah naapa ,,
 
Imebidi kwanza niangalie jina mleta mada nikapata jibu basi imenibidi nikae kimya.

Tunamsemo wa wazee ndio wenye busara na hekima . Mzee kutumia busara zake na hekina tunamtukana.

Alau Mzee Warioba amefanya hayo aliyofanya we Jingalao umefanya Nini. Jingalao ni sawa na Lemutuz miaka zaidi ya 50 hakuna alichofanya na Bado unategemea wazazi.

Ukweli husemwa hadharani pasipo kificho na wazee kusema hivyo ni jadi Yao. Umeaona hata viongozi wa dini wanavyosema.

Jinga lao naomba mjibu

1. Kilichosemwa na chadema kuhusu uchaguzi ni video zilizopo mtandaoni. Na je hatua zilizochukuliwa Kwa waliovuruga uchaguzi.

2. Jibuni walichosema viongozi mbali mbali wa dini RC, KKKT, n.k

3. Jibuni maswali wanayouliza wanasheria ikiwa ni pamoja na time ya hali za binadamu

4. Jibuni maswali magumu yanayoulizwa na wanahatakati mbalimbali.

5. Jibuni maswali ya wananchi.tuambieni wanaowateka raia ni kina nani?

Kama mmeshindwa kukuambia ni kina nani Kwa Nini mnataka tuwaamini kuwapa madaraka wakati wananchi wanatekwa na kupotezwa. Hii ndio msingi wa hotuba ya Mzee Warioba
 
Kwa namna yoyote Ile Wala Hakuna aliyetarajia uchangie tofauti Na hivi ulivyofanya Na sababu zenyewe Zinatambulika Na Zi wazi Sana, umetimiza kiu ya Moyo wako Na Sasa utaishi Kwa Amani ...ya Warioba waachie wenye kuguswa nayo we endelea kusherekea Uhuru wa Tanganyika
 
Serikali hii ni sikivu na ndio maana umeona mkeka umetoka na umegusa Mambo ya Ndani ina maana Rais anafatilia mazuri yanayochangiwa na wananchi akiwemo Mzee Warioba
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshimike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Unataka afe!!!! Pumbavu zako.
 
Hana lolote huyu amepewa heshima kubwa bure tu bora awe makini sana kuja na mambo ya kuvuruga taifa.
Mfano mzuri ni pale gharama kubwa alipoteza alipoaminiwa kuongoza tume ya katiba. Kitu gani mwisho alileta kama sio katiba ya kulivunja taifa. Huwezi kua mwanamapinduzi na mliberali wakati mmoja. Alikuja na katiba ya kipuuzi kabisa haifai kulinda umoja na usalama wa taifa. Ingetekelezwa nchi ingeishia kua na marais watatu kila rais na masharubu. Rais wa muungano mwenye mambo 9 kusimamia angekua na wizara kuongoza labda 20...mzigo mkubwa wa bure. Mwisho wake yeye angekatwa sharubu na wenzake muungano ungekufilia mbali.
 
Mafisadi hamwezi kubali mambo ya Warioba kamwe
 
Back
Top Bottom